Foreman alinicall jana akanishow nsijaribu kukanyaga site yake tena.
Akanishow nicheki whatsapp nkapata hii video.
Eti Friday nlikuwa mavitu..
But za Kasarani nlikuwa nmeshaseti tukutane Kasarani Stadium guys.
Na ni Sunday mjue kusamehea mambo ya last week isifike kesho.