Vianey Rweyendela (@vianeyjr) 's Twitter Profile
Vianey Rweyendela

@vianeyjr

Economic Transformation Expert, Nationalist seedisclaimer.com

ID: 462705262

calendar_today13-01-2012 07:49:28

1,1K Tweet

315 Followers

914 Following

Absa Bank Tanzania (@absatanzania) 's Twitter Profile Photo

Earn with every swipe! Enjoy real cash rewards when you transact with your Absa Card. Just tap or swipe your Absa Card. Ts&Cs apply.

Earn with every swipe! Enjoy real cash rewards when you transact with your Absa Card. Just tap or swipe your Absa Card.
Ts&Cs apply.
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Serekali itaendelea kununua Mahindi kama ambavyo tumefanya msimu 22/23 kumlinda mkulima bila kuathiri walaji swala la ruzuku ya mbolea litaendelea TFRA nimewaagiza kama mkulima alimaliza slot yake ya msimu huu na anarejea Shambani mfumo usifungwe wakulima wanaorejea kulima mara

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Reli ya SGR imeleta na italeta manufaa chanya ya moja kwa moja kwa wananchi wa Tanzania ikiwemo ajira na urahisi wa kufanya biashara. Hii ni Songa na Samia, SS.

Mohammed Hersi : Mr Optimist (@mohammedhersi) 's Twitter Profile Photo

While official National cereals produce board National Cereals & Produce Board are busy stocking fake fertiliser ( The Star report ) TheStarKenya waziri wa kilimo Tanzania Ndugu Hussein Bashe Hussein M Bashe is busy shifting gears addressing PH levels of soil. You then wonder why Tanzania is feeding

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Jana 26.07.2024 Rasmi tumezindua bodi ya kwanza ya National Cooperative Bank - Benki ya Ushirika na huu ndio umekua mkutano wa mwisho wa wanahisa wa Kilimanjaro Cooperative Bank. Mwaka 2019, Wizara ya Kilimo ilikutana na Mwenyekiti wa Bodi na Viongozi wa KCBL na Tanzania

AGRA - Sustainably Growing Africa’s Food Systems. (@agra_africa) 's Twitter Profile Photo

AGRA Tanzania Team in collaboration with USAID visited smallholder farmers in Mbeya Region, of Tanzania to assess the progress of the Africa Accelerated Innovation Delivery Initiative (AID-I). AID-I is part of the U.S. government’s global hunger and poverty initiative. The team

AGRA Tanzania Team in collaboration with USAID visited smallholder farmers in Mbeya Region, of Tanzania to assess the progress of the Africa Accelerated Innovation Delivery Initiative (AID-I). AID-I is part of the U.S. government’s global hunger and poverty initiative.

The team
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwenye Sekta ya Kilimo 2020-2024 Serikali ya Awamu ya Sita imepanga na inatekeleza mambo yafuatayo: i. Imeongeza bajeti ya kilimo kutoka shilingi Bilioni 294 mwaka 2021/22 hadi kufikia Trilioni 1.2 kwa mwaka 2024/2025. Maeneo muhimu

Wizara ya Kilimo (@wizarakilimo) 's Twitter Profile Photo

KITUO CHA UKAGUZI TPHPA MPAKA WA SIRARI KUJENGEWA MAABARA YA KISASA Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) ametembelea Kituo cha Ukaguzi cha Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kilichopo katika mpaka wa Tanzania na Kenya (Sirari) mkoa wa Mara na

KITUO CHA UKAGUZI TPHPA MPAKA WA SIRARI KUJENGEWA MAABARA YA KISASA

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) ametembelea Kituo cha Ukaguzi cha Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kilichopo katika mpaka wa Tanzania na Kenya (Sirari) mkoa wa Mara na
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

TARURA (Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini) wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma, imetenga shilingi milioni 468 kwa ujenzi wa barabara ya Kihamili kuelekea Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa kiwango cha lami. Barabara hii yenye urefu wa kilomita 3.4 inajengwa kwa

TARURA (Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini) wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma, imetenga shilingi milioni 468 kwa ujenzi wa barabara ya Kihamili kuelekea Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa kiwango cha lami. Barabara hii yenye urefu wa kilomita 3.4 inajengwa kwa
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

The Africa Energy Summit 2025 is happening this 27th - 28th January 2025 in Dar es salaam, Tanzania . H.E President Samia Suluhu welcomes fellow African leaders,delegates & partners to the Africa Energy Summit 2025 #Mission300 #PoweringAfrica #PoweringTanzania

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

🗓️15.04.2025 📍Bungeni Dodoma Mapema Bungeni Leo, Nimetoa Shukrani zangu za dhati kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa ushirikiano anaotupa Wizara ya Kilimo katika utekelezaji wa miradi mbali mbali. Na tukielekea kwenye Uzinduzi wa Benki ya Ushirika tarehe 28 mwezi

Vianey Rweyendela (@vianeyjr) 's Twitter Profile Photo

Making market work for Small Holder Farmers! Giving them competitive edge space will take them far in adopting appropriate technologies ⁦Hussein M Bashe

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Salaam Ndugu Zangu, Mtakumbuka kuwa Serikali, kupitia kauli yake rasmi iliyotolewa Bungeni, imeanzisha Programu ya BBT Borelhole - ya kuchimba visima 62,000 kwa ajili ya kuwawezesha wakulima wadogo nchini. Visima hivi vitahudumia zaidi ya hekta milioni 2.2 kwa kipindi cha miaka

Salaam Ndugu Zangu,

Mtakumbuka kuwa Serikali, kupitia kauli yake rasmi iliyotolewa Bungeni, imeanzisha Programu ya BBT Borelhole - ya kuchimba visima 62,000 kwa ajili ya kuwawezesha wakulima wadogo nchini. Visima hivi vitahudumia zaidi ya hekta milioni 2.2 kwa kipindi cha miaka