Veronikaenock
@veronikaenock1
Yes
ID: 1504531113561182210
17-03-2022 18:52:49
2 Tweet
10 Takipçi
283 Takip Edilen
Kwa unyenyekevu mkubwa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutupatia sote zawadi ya uhai. Namshukuru Mhe Rais Samia Suluhu kwa kuendelea kuniamini na kunipa dhamana ya uongozi. Kisarawe nawashukuru sana mmenilea, mmenijenga. Mtabaki moyoni mwangu! HODI HODI Temeke 🇹🇿