Vee & Jay (@veenajay_) 's Twitter Profile
Vee & Jay

@veenajay_

Sehemu pekee ya kufunguka kile kilicho moyoni na kupata ushauri au majibu ya maswali yako bila ya mtu kukujaji (kukuhukumu). #AskDadaVee

ID: 973912469080035328

linkhttps://instagram.com/officialdadavee calendar_today14-03-2018 13:23:21

2,2K Tweet

7,7K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Vee & Jay (@veenajay_) 's Twitter Profile Photo

Nawasalimia... Kukubali kurekebishwa ni ungwana. Kuwa mkweli juu ya unachofikiria ni vizuri. Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni ungwana. Kusamehe na kusahau ni vizuri. Kuwa mtenda haki ni ungwana. Kusabahi watu ni vizuri na ni ungwana. Ongezea na yako tufunzane! #DarasaHuru

Nawasalimia...

Kukubali kurekebishwa ni ungwana.
Kuwa mkweli juu ya unachofikiria ni vizuri.
Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni ungwana.
Kusamehe na kusahau  ni vizuri.
Kuwa mtenda haki ni ungwana.
Kusabahi watu ni vizuri na ni ungwana.

Ongezea na yako tufunzane!
#DarasaHuru