Vee & Jay (@veenajay_) 's Twitter Profile
Vee & Jay

@veenajay_

Sehemu pekee ya kufunguka kile kilicho moyoni na kupata ushauri au majibu ya maswali yako bila ya mtu kukujaji (kukuhukumu). #AskDadaVee

ID: 973912469080035328

linkhttps://instagram.com/officialdadavee calendar_today14-03-2018 13:23:21

2,2K Tweet

7,7K Followers

1,1K Following

Vee & Jay (@veenajay_) 's Twitter Profile Photo

Kwa kawaida kila mtu ana siri zake binafsi Ila je ni siri zipi unaweza kuziweka wazi kwa mpenzi wako? Sikiliza halafu utuambie hapa... #NyumaYaPazia

Pendo (@officialpendo) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi (International Day of Women and Girls in Science). Siku hii ni maalum kwaajili ya kuwasherekea wanawake na wasichana waliojitoa kufanya tafiti na kazi za sayansi na maendeleo ya maarifa ya binadamu.

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi (International Day of Women and Girls in Science).
Siku hii ni maalum kwaajili ya kuwasherekea wanawake na wasichana waliojitoa kufanya tafiti na kazi za sayansi na maendeleo ya maarifa ya binadamu.
Vee & Jay (@veenajay_) 's Twitter Profile Photo

Takwimu mpya zinasema kati ya wadada kumi, sita wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI Umakini unahitajika zaidi, kanuni ni zile zile simpo tu! Kuwa na mpenzi mmoja na muwe waaminifu au kutumia kinga kwa usalama binafsi wa afya yako #NyumaYaPazia

Vee & Jay (@veenajay_) 's Twitter Profile Photo

Kuna ukweli kwenye hili Kwa niaba ya Afya yako ya Akili ukijisikia kulia lia tu kugugumia machungu ni kudhoofisha Afya ya Akili #GeuziaDishiMjini

Kuna ukweli kwenye hili 
Kwa niaba ya Afya yako ya Akili ukijisikia kulia lia tu kugugumia machungu ni kudhoofisha Afya ya Akili 
#GeuziaDishiMjini
Pendo (@officialpendo) 's Twitter Profile Photo

Happy International Women's Day kwa wadada/wanawake wote🤗 Mwaka huu lengo kuu ni kukumbushana kuongeza chachu ya usawa wa kijinsia kwenye teknolojia Kuna namna nyingi wadada tunaweza kutumia ubunifu na teknolojia kurahisisha shughuli zetu za kila siku

Happy International Women's Day kwa wadada/wanawake wote🤗
Mwaka huu lengo kuu ni kukumbushana kuongeza chachu ya usawa wa kijinsia kwenye teknolojia 
Kuna  namna nyingi wadada tunaweza kutumia ubunifu na teknolojia kurahisisha shughuli zetu za kila siku
Vee & Jay (@veenajay_) 's Twitter Profile Photo

Nawasalimia... Kukubali kurekebishwa ni ungwana. Kuwa mkweli juu ya unachofikiria ni vizuri. Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni ungwana. Kusamehe na kusahau ni vizuri. Kuwa mtenda haki ni ungwana. Kusabahi watu ni vizuri na ni ungwana. Ongezea na yako tufunzane! #DarasaHuru

Nawasalimia...

Kukubali kurekebishwa ni ungwana.
Kuwa mkweli juu ya unachofikiria ni vizuri.
Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni ungwana.
Kusamehe na kusahau  ni vizuri.
Kuwa mtenda haki ni ungwana.
Kusabahi watu ni vizuri na ni ungwana.

Ongezea na yako tufunzane!
#DarasaHuru
Pendo (@officialpendo) 's Twitter Profile Photo

Ukijisikia kutofanya kitu chochote ilhali una vitu kibao vya kufanya unafanyaje ili kukaa sawa tena ili mishe ziende? #GeuziaDishiMjini

Pendo (@officialpendo) 's Twitter Profile Photo

Tuna nafasi ya kujifunza kitu kipya kila siku na ni kwasababu hatujui kila kitu💁🏾‍♀️ Katika kujifunza ni muhimu kuangalia vya kuchukua na vya kuacha 👌🏾 2023 imekuwa na mambo mengi mno na kubwa zaidi bado una nafasi ya kuendelea kujifunza kwa miezi iliyobakia😃

Tuna nafasi ya kujifunza kitu kipya kila siku na ni kwasababu hatujui kila  kitu💁🏾‍♀️
Katika kujifunza ni muhimu kuangalia vya kuchukua na vya kuacha 👌🏾
2023 imekuwa  na mambo mengi mno na kubwa zaidi bado una nafasi ya kuendelea kujifunza kwa miezi iliyobakia😃
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Its okay to love someone, ila basi bakisha kidogo asilimia zako za kujilinda incase things dont work out. Watu wa kuwajua ukubwani na hujashiriki kuwalea usiwape 100%

Pendo (@officialpendo) 's Twitter Profile Photo

Nimependa kuwasherekea wadada hawa wanaofanya mishe tofauti kwa lengo la kuboresha mazingira, jamii na muhimu zaidi kutengeneza mkwanja👌🏽 Unafanya mishe gani share kwenye comments tukusapoti🤗 #SikuYaWanawakeDuniani #MchongoLive