KASONGO (@van_hunch_o) 's Twitter Profile
KASONGO

@van_hunch_o

Msema kweli

ID: 1109187607571951621

calendar_today22-03-2019 20:18:28

127,127K Tweet

5,5K Followers

1,1K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nimezuiliwa hapa mpakani, wanataka kunichukua bila kufuata utaratibu. Sina kosa lolote, hata aliechukua passport yangu hajaniambia nina kosa gani. Watanzania Tusikubali Nchi yetu kuendeshwa bila kufuata sheria. Nchi bila kufuata sheria ni hatari kwa kila mtu.

Cornelius K. Ronoh (@itskipronoh) 's Twitter Profile Photo

Idi Amin Mama Samia Suluhu is behaving as if the world revolves around them. Tanzanians are being ruled like wild animals. One day, she will fall and it will be televised.

Idi Amin Mama Samia Suluhu is behaving as if the world revolves around them. Tanzanians are being ruled like wild animals. One day, she will fall and it will be televised.
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wamemchukua Mahakamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. John Heche na kuondoka nae kutokana na usalama wake kuwa mdogo eneo la mpaka wa Sirari.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza speech ya Mh HECHE 🫡 Kesho baada ya mazishi ya BABA atarudi kuongea na wananchi waliomuokoa kwenye mikono ya WATEKAJI. NCHI HII ITAKOMBOLEWA TUU WATAKE WASITAKE. 29.10 TUTANYOOKA NAO NCHI NZIMA. TUTAKUWEPO🫵😎

KASONGO (@van_hunch_o) 's Twitter Profile Photo

Kwa anayoyafanya Idd Amin wenu nadhan ni kutokana na umwagaji wa dam zisizokua na hatia unapelekea anafanya mambo buruburu bila kujielewa na ndo imesaidia kuamsha hisia za wananchi kila kona kinawaka sana mamae.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Naomba kuuliza kuna MEDIA YOYOTE BONGO imeweka hii habari ya HECHE BONGO? Kuna muandishi yeyote wa habari kaweka hii habari ya Heche kwenye kurasa yake? Ila usishangae ukaona MEDIA ZOTE na waandishi wote wakipost kipeperushi cha "Migration" kuelezea tukio hili. Tena watapost

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amelaani vikali kitendo kilichoelezwa kufanywa na maofisa wa Idara ya Uhamiaji kumzuia kuvuka mpaka wa Sirari wilayani Tarime mkoani Mara kwenda nchini Kenya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Idd Amin Mama imezoea kutuonea CHADEMA. Viongozi wetu wakipita Airport/border wanazuiwa na kunyang’anywa passport zao then Viongozi wanalalamika na kurudi nyumbani kulala naona mara hii wamekutana na kiboko yao. Hii ndo namna nzuri ya kudeal na wahuni, asante sana

Serikali ya Idd Amin Mama imezoea kutuonea CHADEMA.

Viongozi wetu wakipita Airport/border wanazuiwa na kunyang’anywa passport zao then Viongozi wanalalamika na kurudi nyumbani kulala naona mara hii wamekutana na kiboko yao.

Hii ndo namna nzuri ya kudeal na wahuni, asante sana
KASONGO (@van_hunch_o) 's Twitter Profile Photo

Jiranii yanguu hapa anapiga ngoma za zamani kumamake zina vibe sana na huku nawatch movie flan kali nahisi kama nipo club naangalia naaangalia tyu picha na kushushia na spirit ya Captain TESHA