UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile
UWAWAMA TV

@uwawamatv

Media /News Campany
The official account of UwawamaTv

youtube.com/@uwawamatv?si=…

ID: 1825954615508045824

linkhttp://www.uwawama.or.tz calendar_today20-08-2024 17:55:46

43 Tweet

41 Followers

42 Following

UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1995, Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Wanawake huko Beijing, uliazimia kufikia usawa wa kijinsia na dunia ikajizatiti kutekeleza azimio hilo. Miaka 30 baadae bado hali ya kundi kubwa la wanawake imedorora. Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani 2025, UWAWAMA inawaalika

Tina Mfanga (@nomzamocelia) 's Twitter Profile Photo

30 years ago, the 4th International Women's Conference in Beijing adopted the international 'Bill of Rights' for women. Sadly, the majority of women remain socially & economically marginalized. It’s time to reflect on the BPfA’s implementation & the state of the poor women.

UWAWAMA (@uwawama) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea siku ya Wanawake Wavujajasho Duniani, UWAWAMA inawaalika kujumuika na wanawake wa mashinani kwenye maadhimisho hayo siku ya tarehe 5 katika ukumbi wao wa AMY GARVEY pale Manzese Tiptop. Karibuni wote tutafakari safari ya miaka 30 ya Azimio la Beijing.

Kuelekea siku ya Wanawake Wavujajasho Duniani, UWAWAMA inawaalika kujumuika na wanawake wa mashinani kwenye maadhimisho hayo siku ya tarehe 5 katika ukumbi wao wa AMY GARVEY pale Manzese Tiptop.

Karibuni wote tutafakari safari ya miaka 30 ya Azimio la Beijing.
UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

Tanzania yaendelea kunufaika na technolojia kutoka Cuba: Sasa Cuba yaja na suluhisho la kutokomeza mimea vamizi nchini. Bofya link kupata habari kamili. youtu.be/CpSUyeOajfg?si… youtu.be/CpSUyeOajfg?si…

UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

'Wanawake waitisha mshikamano Afrika' Kwa taarifa zaidi bofya link kwenye Bio na pia, Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kama UwawamaTv

UWAWAMA (@uwawama) 's Twitter Profile Photo

In 1962, The Pan-African Women’s Union was founded in Dar es salaam by our fore mothers. In 2025, their granddaughters gather in the same city with the same call. We are picking from where our brave mothers left, & carry forward the struggle to liberate women & our continent.

UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

"Hatulimi mashamba yetu kwa amani" Kwa undani wa taarifa hii tufuatilie kwenye YouTube yetu kama UwawamaTv . Bofya link kwenye Bio na pia tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kama UwawamaTv

UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Utafiti na Utetezi wa Haki za Ardhi Nchini (HAKI ARDHI) imetoa tamko kuhusu uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 (Toleo la mwaka 2023). Tamko hilo limelenga kutoa wito kwa serikali kushirikisha wananchi kikamilifu katika marekebisho ya sera hiyo ili

UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

Cuba na Tanzania zaendelea kushirkiana katika jitihada za kutokomeza malaria pamoja na kukuza kilimo hai… Bofya link usikie zaidi kutoka kwa Rais wa Bunge la Cuba akifafanua kwa kina juu ya mradi huu wenye msingi wa ubinadamu. youtu.be/NGB-fYcE9d4?si…

UWAWAMA (@uwawama) 's Twitter Profile Photo

Today, we light a candle in memory of our very own African revolutionary, Jocina Abiathar Muthemba Machel. Her legacy as a frontline combatant, political educator, mobilizer, and compassionate mother to orphans resonates not only in Mozambique but throughout the continent.

Today, we light a candle in memory of our very own African revolutionary, Jocina Abiathar Muthemba Machel.

 Her legacy as a frontline combatant, political educator, mobilizer, and compassionate mother to orphans resonates not only in Mozambique but throughout the continent.
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

In advocating for the rights and interests of waste pickers in Tanzania 🇹🇿, we have been engaging with various media outlets since they are powerful platforms to amplify messages to the community,raise awareness and recognition to waste pickers. TBC DIGITAL #utunauhaiwamazingira

In advocating for the rights and interests of waste pickers in Tanzania 🇹🇿, we have been engaging with various media outlets since they are powerful platforms to amplify messages to the community,raise awareness and recognition to waste pickers.
<a href="/TBConlineTZ/">TBC DIGITAL</a>
#utunauhaiwamazingira
UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

“Unity will not make us rich, but it can make it difficult for Africa and the African people to be disregarded and humiliated ”. Julius Nyerere. Long live our precious union.

“Unity will not make us rich, but it can  make it difficult for Africa and the African people to be disregarded and humiliated ”. Julius Nyerere.

Long live our precious union.
UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

DAR ES SALAAM: Ushirika wa Wanawake Wavujajasho Manzese( UWAWAMA)watoa wito kwa wavujajasho wote ambao ni wafanyakazi wa delta isiyo rasmi kuungana na kuunda vyombo vyao watakavyovitumia kuleta mapinduzi yatakayoboresha hali ya wafanyakazi hasa wa delta isiyo rasmi. Katibu wa

UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

Young scholars expose the failures of neoliberal policies in Africa and propose minimum reforms for the continent’s renaissance. #uwawamatv#uwawamatv

UWAWAMA TV (@uwawamatv) 's Twitter Profile Photo

The first semester of the Winnie Mandela Cooperative School kicked off today. Our 2025 cohort has brought in participants from ten cooperatives and social movements in four regions of Tanzania and three organizations from South Africa. UWAWAMA will continue to provide an

The first semester of the Winnie Mandela Cooperative School kicked off today. Our 2025 cohort has brought in participants from ten cooperatives and social movements in four regions of Tanzania and three organizations from South Africa. UWAWAMA will continue to provide an
MTAWADA (@mtawada_tz) 's Twitter Profile Photo

We are happy to share that we participated the Winnie Mandela Cooperative School, hosted by Ushirika wa Wanawake Wavujajasho Manzese UWAWAMA from June 6th to 8th, 2025. We gained a chance to exchange experience, learn and connect. We, stand united in this struggle!

We are happy to share that we participated the Winnie Mandela Cooperative School, hosted by Ushirika wa Wanawake Wavujajasho Manzese <a href="/uwawama/">UWAWAMA</a> from June 6th to 8th, 2025.  We gained a chance to exchange experience, learn and connect. 

We, stand united in this struggle!
UWAWAMA (@uwawama) 's Twitter Profile Photo

We were so honored to welcome and share UWAWAMA’s space with our comrades in struggle. They were three amazing days of working together, sharing our stories and above all, learn from each other’s work and our shared vision of the struggle. Long live our Solidarity.