Geshan (@utenga_geshan) 's Twitter Profile
Geshan

@utenga_geshan

ID: 1199669100957622275

calendar_today27-11-2019 12:39:45

696 Tweet

103 Takipçi

66 Takip Edilen

Geshan (@utenga_geshan) 's Twitter Profile Photo

Umeamua kwa moyo wako mnyoofu,kwa nguvu zako zote,kiroho safi kumchukia mtu sasa ni nini unaanza kuchochea watu wengine wamchukie?

Geshan (@utenga_geshan) 's Twitter Profile Photo

Dunia haitathamini MEMA 99/100 uliyofanya Bali itakuhukumu kwa KOSA 1/100 ulilofanya,Kuwa chanya usipotezwe na 1/100 kwani una 99/100. Hakuna kukata tamaa.