
URT Updates
@urtupdates
Updates from the United Republic of Tanzania #URTUpdates
ID: 1698962981466275840
05-09-2023 07:35:22
6,6K Tweet
678 Takipçi
751 Takip Edilen

WAZIRI MKUU AKAGUA VIWANJA VITAKAVYOTUMIKA CHAN AGOSTI 2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na Road to AFCON 2027 🇹🇿🇰🇪🇺🇬 kwa Ushirikiano na nchi za Kenya na Uganda.
