ubungo paralegal (@uparalegal) 's Twitter Profile
ubungo paralegal

@uparalegal

Tunatoa huduma ya msaada wa kisheria na elimu ya kisheria

ID: 1622088847495495680

calendar_today05-02-2023 04:26:28

4 Tweet

26 Followers

737 Following

LSF (@lsftanzania) 's Twitter Profile Photo

"Hapa Mkoani Manyara tunayo mashirika na watoa huduma wa msaada wa kisheria katika wilaya zote ikiwemo Babati, Hanang, Simanjiro, Mbulu TC, Mbulu DC na Kiteto, ambayo tunayawezesha kutoa huduma bure kwa jamii na yatasaidia sana katika kampeni hii," - Amani Manyelezi

"Hapa Mkoani Manyara tunayo mashirika na watoa huduma wa msaada wa kisheria katika wilaya zote ikiwemo Babati, Hanang, Simanjiro, Mbulu TC, Mbulu DC na Kiteto, ambayo tunayawezesha kutoa huduma bure kwa jamii na yatasaidia sana katika kampeni hii," - <a href="/AmaniManyelezi/">Amani Manyelezi</a>
Lindi Women Paralegal Aid Centre (LIWOPAC) (@liwopac) 's Twitter Profile Photo

Msaidizi wa kisheria Bi. Paulina Mkude kutoka shirika la msaada wa kisheria Ubungo (Ubungo Paralegal) akitoa elimu juu ya utunzaji wa fedha kwa vikundi vya VICOBA katika kata ya Saranga eneo la Temboni. LSF UNDP Tanzania @ForumCivHubESA

Msaidizi wa kisheria Bi. Paulina Mkude kutoka shirika la msaada wa kisheria Ubungo (Ubungo Paralegal) akitoa elimu juu ya utunzaji wa fedha kwa vikundi vya VICOBA katika kata ya Saranga eneo la Temboni.

<a href="/LSFTanzania/">LSF</a> 
<a href="/undptz/">UNDP Tanzania</a> 
@ForumCivHubESA
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

''AZAKI zinalipa kodi kama walipa kodi wengine kwa mujibu wa sheria. Je, ni Kodi gani AZAKI zinatakiwa zilipe na wanalipaje?'' ~Octavian Kichenje kutoka TRA Institute of Tax Administration, akizugumza na wafadhiliwa wa FCS Jijini Dodoma. #MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku

''AZAKI zinalipa kodi kama walipa kodi wengine kwa mujibu wa sheria. Je, ni Kodi gani AZAKI zinatakiwa zilipe na wanalipaje?'' ~Octavian Kichenje kutoka TRA Institute of Tax Administration, akizugumza na wafadhiliwa wa FCS Jijini Dodoma.
#MafunzoYaUsimamiziWaRuzuku