
Tanzania National Parks
@tzparks
Tanzania National Parks is a parastatal organization which has the mandate to manage all areas designated as National Parks . It manages 21 National Parks
ID: 608826775
http://www.tanzaniaparks.go.tz 15-06-2012 06:09:12
2,2K Tweet
29,29K Takipçi
155 Takip Edilen


Picha za matukio mbalimbali za mkutano wa Chama cha maafisa Mawasiliano wa Serikali TAGCO TANZANIA ambapo mada kuhusu Usimamizi wa Mawasiliano wakati wa Mgogoro katika kulinda taswira ya Serikali inawasilishwa katika siku ya tatu ya Kikao kazi cha #TAGCO kinachoendelea katika


Rais Samia Suluhu akutana na kufanya mazungumzo na bosi wa Manchester United Sir Jim Ratcliffe Dar es Salaam leo kuhusu utalii, uhifadhi na michezo



Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Mhe. Dunstan Kyobia ateta na Maafisa Mawasiliano wa Serikali na wanachama wa TAGCO TANZANIA walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Mlima Udzungwa April 12, 2025. Mhe. Dunstan aeleza fursa za uwekezaji zinazopatikana katika Wilaya ya Kilombero Mkoa wa











Tanzania national parks authority denies human rights abuse claims in Ruaha World Bank Tanzania thecitizen.co.tz/tanzania/news/…


Tanzania Refutes Foreign NGOs Claims on Ruaha Killings Incident World Bank Tanzania World Bank eturbonews.com/tanzania-refut…

🏆 TANAPA Nyumbani kwa Tuzo! Leo JNIA imeshuhudia mapokezi ya tuzo ya ESQR (European Award for Quality Choice Achievement 2025) kwa huduma bora kimataifa mara ya 6 mfululizo! Heshima kwa Tanzania, shukrani kwa Rais Samia Suluhu kwa kutangaza vivutio vyetu duniani. #Tanzaniaparks
