Nelson tz (@tz_nelson) 's Twitter Profile
Nelson tz

@tz_nelson

F

ID: 846465537202946048

calendar_today27-03-2017 20:54:45

21 Tweet

103 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Teknolojia ya Tanzania sasa naona ina vituo visivyoonekana kwa macho. Tushaanza kuektiana movie za Harry Porter. Roma yuko wapi ? 😒

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Meneja Babu Tale ameandika sentesi hii leo 'Uoga ni uzembe, mimi nadhani mwenye jukumu la kujua #ROMA yuko wapi ni Mkuu wa Mkoa, atusaidie.

Rais wa Urusi, Vladmir Putin amesema Marekani imekiuka makubaliano ya Kimataifa kuishambulia Syria, atangaza kuipa ulinzi wa anga nchi hiyo

Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Askofu Desmond Tutu ameungana na wanaharakati wanaoshinikiza Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kuachia madaraka.

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

JUST IN: Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na inadaiwa yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar. Taarifa zaidi zinafuata... #JFLeo

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na Roma kuonekana anachechemea baada ya kurudi uraiani, asema 'mimi ni mzima kabisa' >>> millardayo.com/rma8/ #MillardAyoUPDATES