TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile
TZ Youth Coalition

@tyc2002

A Youth led NGO that works to ensure the voices of young people are heard in all policy forums.

ID: 1052309119

linkhttp://www.tyc-tz.org calendar_today01-01-2013 10:20:25

134 Tweet

233 Followers

196 Following

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

"On behalf of TYC Family and Staffs, I would like to wish all our partners and supporters A Merry Christmass and Happy New Year." Director

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Tunapomalizia masaa machache kuuaga mwaka 2013, tunatoa shukrani kwa wale wote waliofanikisha jitihada za kupaza sauti za vijana TZ.

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Tunashukuru wanachama wetu wote Asasi 120 na vikundi vya kijasiriamali 249 kwa kusukuma gurudumu hili adhimu. Uwepo wenu ndo uwepo wa TYC

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya machache tuliofanya ni pamoja na ushiriki wa vijana ktk mchakato wa kutengeza katiba mpya nchini.Tumeshirik kuanzia hatua ya awali

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Tumeshiriki pia kuhakikisha upatikanaji wa Sera ya Maendeleo ya Vijana ya Afrika Mashariki iliyopitishwa mwezi Juni mwaka huu

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Kubwa zaid ni kukuza uwezo wa vijana ktk masuala mbalmbali kupitia programu kama mafunzo vyuoni, kupeleka vijana nje ya nchi kukuza uzoef nk

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Yapo mengi yakufanya likiwemo la baraza huru la vijana, katiba, uchaguzi, Afrika Mashariki, Sera ya Vijana n.k Michango yenu ni muhimu sana

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Tunawashukuru sana wale wote waliotoa ushirikiano wa hali na mali kufanikisha machache ya 2013. Mabadiliko ni mimi, wewe ni sisi.

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia mwaka mpya wenye heri, fanaka na mafanikio tele. Tukumbuke vijana wananafasi kubwa ktk maendeleo ya taifa letu. Karibu 2014

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

TANZIA: Ndugu yetu na mwanachama wa TYC, ndugu Erick Kajwahura amefiwa na baba yake Mzee Angelo Katunzi. Msiba uko Muleba, Kagera

TZ Youth Coalition (@tyc2002) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa TYC unatoa pole kwake, ndugu jamaa na marafiki. Mungu ailaze roho ya mzee wetu mahali pema. Bwana ametoa, Bwana ametwaa.

MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Poleni sana jumuiya #UDSM kwa kifo cha Balozi Fulgence akiwa kwenye matibabu India; tukumbuke mchango wake huku tukimwombea #RIPKazaura

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Tunapoona hali inavyochafuka nchi za wenzetu zaidi ya kuiombea amani Tanzania.. TUJENGE amani kwa kuleta usawia ktk jamii #ChangeTanzania