
TR7
@tra0007
ozil
ID: 1291246715509641218
06-08-2020 05:36:52
268 Tweet
53 Followers
196 Following


"Mara hii rafiki yangu Magufuli ajiandae kufunga virago vyake na Hussein Mwinyi akikubali ajiandae kuwa Makamu wangu wa Kwanza. Mara hii kichwa lazima kitoke ACTWazalendo." Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Timu za Ushindi leo mchana.


Hey Carol Ndosi sijui but nahisi nahitaji tukae chini na kuona ni jinsi gani tunafikisha elimu juu ya mahusiano kwa watoto na wadogo zetu..Madhara ya unafiki wa wazazi/walezi yanazidi kuongezeka..tutapoteza vijana wengi kwa depression TUCHUKUE HATUA

kwa nini asishtakiwe, yeye ni nani wakati ni binadamu kama watu wengine. Lisu mara kwa mara ameonyesha msimamo wake dhidi ya Rais pale amuonapo Rais akikosea. Lisu anatabia za kinabii, moja ya tabia za kinabii ni kukemea uovu pasipokujali mtenda maovu atafanya nini Tundu Antiphas Lissu





Rashidi Bishop J. Gwajima Phd ati ni iachiwe iwe miongoni mwa kampeni zako









