Yanga SC TV
@yangasctv
Official Account for YANGA TV @YoungAfricansSC
ID: 1947393960982261760
https://youtube.com/@youngafricanssctv?si=NOkoviba7tBwBG-D 21-07-2025 20:31:45
19 Tweet
850 Takipçi
23 Takip Edilen
Fahamu silaha mbili alizotumia Rais wetu Eng. Hersi Said kumpata Engineer Conte #TransferTalk Video kamili inapatikana YANGA TV (youtube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Ally Kamwe akisimulia usumbufu mkubwa uliotokea kwenye usajili wa Mudathir Yahya Je ni nini kilitokea? tazama sasa Episode ya pili ya #TransferTalk Yanga TV (YouTube) Sponsored by GSMGroupCompanies #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Alichokisema Kocha wetu mkuu Romain Folz baada ya kutambulishwa rasmi. Tazama video kamili Yanga TV (YouTube) Follow Yanga SC TV 👊🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Welcome to Young Africans Sports Club, Coach Romain Folz🤝 #Visuals 📸 anderson amani #AndersonMyShots #YASC
Kutoka kwa Hansrafael hii hapa CV ya Kocha Romain Folz kabla ya kutua Young Africans SC. Mwananchi twende tukaangalie Episode ya 3 ya #TransferTalk Yanga TV( YouTube) Follow Yanga SC TV #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
𝐙𝐀 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈 Ndani ya #TransferTalk ya Yanga SC TV Ricardo Momo amefunguka kuhusu Professor wa Boli @pacom_zouzoua Episode ya 4 ya #TransferTalk inakusubiri wewe Mwananchi ndani Yanga TV (youtube)👊🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko