Rewis Rweto (@rrwetoijera) 's Twitter Profile
Rewis Rweto

@rrwetoijera

Tanzanian 🇹🇿
Social Worker|
Health worker|
Research Assistance|
Psychologist & Counselor|
Former Minister of Education ISWOSO 2022/2023
Dar es Salam Tanzania

ID: 825991428702662656

calendar_today30-01-2017 08:57:57

553 Tweet

705 Takipçi

4,4K Takip Edilen

Manish Kumar (@manishkhosiya) 's Twitter Profile Photo

If you’re interested in LEARNING all of these for FREE: Product management Project management Business analytics Data visualization Microsoft excel Data analytics Big data Scrum UI/UX Agile SQL Steps to Get Started: 1. Follow me for a DM. 2. Like and repost. 3. Comment "Send"

If you’re interested in LEARNING all of these for FREE:

Product management
Project management
Business analytics
Data visualization
Microsoft excel
Data analytics
Big data
Scrum
UI/UX
Agile
SQL

Steps to Get Started:

1. Follow me for a DM.
2. Like and repost.
3. Comment "Send"
Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Kuna umri unafika unaelewa kwamba Sio kila mtu ataunga mkono mipango na ndoto zako, Unaacha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu na kuqmua kuchukua Jukumu la kupambania ndoto na malengo yako mwenyewe na kuzingatia kufanya kile kilicho bora kwako.

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH (@kkkt_kijito) 's Twitter Profile Photo

Bwana Yesu asifiwe. Tunapenda kuwakaribisha wote kwenye Ibada ya Friday Prayers ya kuuanza mwezi wa 8, itakayofanyika tarehe 02.08.2024 kuanzia saa 12 kamili jioni. Ibada hii itakuwa live kupitia YouTube channel ya KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH. #FridayPrayersKijito .

Bwana Yesu asifiwe.

Tunapenda kuwakaribisha wote kwenye Ibada ya Friday Prayers ya kuuanza mwezi wa 8, itakayofanyika tarehe 02.08.2024 kuanzia saa 12 kamili jioni.

Ibada hii itakuwa live kupitia YouTube channel ya KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH.

#FridayPrayersKijito
.
Save the Children Tanzania (@scitanzania) 's Twitter Profile Photo

"Watoto, ambao wanaunda asilimia 51 ya idadi ya watu nchini, pamoja na jamii zilizo hatarini, wanakabiliana na changamoto kubwa, ikiwemo ongezeko la vitendo vya ukatili na mauaji ya kutisha, hasa kwa watoto wenye ualbino katika maeneo mbalimbali ya nchi.⤵️

"Watoto, ambao wanaunda asilimia 51 ya idadi ya watu nchini, pamoja na jamii zilizo hatarini, wanakabiliana na changamoto kubwa, ikiwemo ongezeko la vitendo vya ukatili na mauaji ya kutisha, hasa kwa watoto wenye ualbino katika maeneo mbalimbali ya nchi.⤵️
Abraham Okah(info hub) (@abrahamokah2) 's Twitter Profile Photo

Study for free in the US 🇺🇸 📌 No Tuition. 📌 Applications start by September. 📌 $35,000 Stipends. 📌 IELTS Waived. McDonnell International Scholarship easevision.com/study-for-free…

Kelvin Jovin (@kelvinkawela) 's Twitter Profile Photo

I just got selected as a #RMNCAH Youth Champion in #Tanzania by Imara Leadership Initiative joining the 1st cohort of young leaders across the country to protect, advocate for the health well-being and rights of children, youth and women once and for all. #MyHealthMyValue

I just got selected as a #RMNCAH Youth Champion in #Tanzania by <a href="/imaraleadership/">Imara Leadership Initiative</a> joining the 1st cohort of young leaders across the country to protect, advocate for the health well-being and rights of children, youth and women once and for all. 
#MyHealthMyValue
Nathan (OpenJobsinfos)🇬🇧🇳🇬 (@openjobsinfos) 's Twitter Profile Photo

JUST IN: Social Worker Vacancy with COS If you’re in the UK 🇬🇧 and you’re interested Apply now!! Position: Social Worker Guaranteed Certificate of Sponsorship (COS) for qualified applicants. Job type: Full time Contract: Permanent Salary: £44,962 per annum Employer: EPUT

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA JIONI. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina. Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo. BABA YETU. Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate

SALA YA JIONI.

Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina.

Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo.

BABA YETU.
Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.

Utupe leo mkate
Joel Nanauka (@jnanauka) 's Twitter Profile Photo

Aina 6 Za Mabosi Wakorofi na Jinsi Ya Kukabiliana Nao... i. Wanafuatilia Kila Kitu ii. Wanaoamini Katika Mawazo Yao Tu! iii. Wanakuchukia Bila Kujua Sababu iv. Wanaogopa Uwezo Wako v. Wanaokupelekesha vi. Wanaoamini Katika Mawazo Yao Tu! Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina ya

Aina 6 Za Mabosi Wakorofi na Jinsi Ya Kukabiliana Nao...

i. Wanafuatilia Kila Kitu
ii. Wanaoamini Katika Mawazo Yao Tu!
iii. Wanakuchukia Bila Kujua Sababu
iv. Wanaogopa Uwezo Wako
v. Wanaokupelekesha
vi. Wanaoamini Katika Mawazo Yao Tu!

Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina ya
Joseph Brighton Malekela (@joseph_malekela) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale vijana wenzangu wenye malengo ya kuja kushika nafasi za uongozi ama kugombea, kuna hii fursa ya kushiriki mafunzo ya Awamu ya Pili ya 'Futurelect’s East Africa Public Leadership Programme' nchini Kenya. Omba Chap kupitia: lnkd.in/dv84Pfvy #ElimikaWikiendi

Kwa wale vijana wenzangu wenye malengo ya kuja kushika nafasi za uongozi ama kugombea, kuna hii fursa ya kushiriki mafunzo ya Awamu ya Pili ya  'Futurelect’s East Africa Public Leadership Programme' nchini Kenya.  

Omba Chap kupitia: lnkd.in/dv84Pfvy  

#ElimikaWikiendi
EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Katika tukio lisilo la kawaida; Wananchi wa Tindingoma, Wilayani Momba, wamejitokeza kwa wingi kuagana kwa heshima aliyekuwa Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Frank Nkinda, ambaye sasa ameteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama. #EastAfricaRadio

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Usidhihaki, usidharau wala kukejeli watu, hasa wakati huu. Watamlilia MUNGU naye atakisikia kilio chao na atajibu kwa kuonesha Nguvu na Ukuu wake.