Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profileg
Omar Said Shaaban

@omarshaaban80

ACT Wazalendo Principal Legal Counsel and Minister for Trade and Industrial Development (SMZ)

ID:4041803781

linkhttp://www.saidattorneys.com calendar_today25-10-2015 22:06:29

2,0K Tweet

8,0K Takipçi

624 Takip Edilen

Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

This is appreciation tweet for Dr Naredra Nikam Dr Narendra Nikam of Lilavati Hospital in Mumbai, India. You are the best! I thank you for you dedicated services and commitment to my Father’s health all the time he has been in the Hospital. May Almighty God bless you.

This is appreciation tweet for Dr Naredra Nikam @DrNarendraNikam of Lilavati Hospital in Mumbai, India. You are the best! I thank you for you dedicated services and commitment to my Father’s health all the time he has been in the Hospital. May Almighty God bless you.
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Kwa watumishi wa Umma au Makampuni mnaopewa dhamana ya kutengeneza Masanamu ya Viongozi (Kama lile la Baba wa Taifa) next time muende Iran mkatengeneze. Hizo picha ni sanamu za watu maarufu hapa Iran.

Kwa watumishi wa Umma au Makampuni mnaopewa dhamana ya kutengeneza Masanamu ya Viongozi (Kama lile la Baba wa Taifa) next time muende Iran mkatengeneze. Hizo picha ni sanamu za watu maarufu hapa Iran.
account_circle
Rahmer Salum🇹🇿(@rahmersalum) 's Twitter Profile Photo

I have recounted my personal insights and viewpoints on the decade-long journey of ACT Wazalendo, reflecting on its impact on democracy and the political landscape in Tanzania.

Please take your time to read this good piece

thechanzo.com/2024/04/24/act…

account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

ACTWazalendo.
Ninajivunia sana kuwa sehemu ya siasa za Chama hiki. Sikushiriki katika kuanzishwa kwake lakini najivunia:
1. Kuwa Miongoni mwa watu wa awali walioamini kwenye aina ya siasa zinazotambulisha Chama hiki
2. Kushiriki katika Mikakati ya kukijenga
3. Kuwa…

#Miaka10ya @ACTwazalendo. Ninajivunia sana kuwa sehemu ya siasa za Chama hiki. Sikushiriki katika kuanzishwa kwake lakini najivunia: 1. Kuwa Miongoni mwa watu wa awali walioamini kwenye aina ya siasa zinazotambulisha Chama hiki 2. Kushiriki katika Mikakati ya kukijenga 3. Kuwa…
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wangu wa Kwanza wa Kidemokrasia niliyohudhuria ulikuwa ni huu wa 2016. Nikawasilisha Mada. The rest is History. Nawaomba wapenzi na wafuasi wote wa @actwazalendo

Mkutano wangu wa Kwanza wa Kidemokrasia niliyohudhuria ulikuwa ni huu wa 2016. Nikawasilisha Mada. The rest is History. Nawaomba wapenzi na wafuasi wote wa @actwazalendo #TwenzetuKilimanjaro
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni Ngome ya vijana_Official wa ACTWazalendo kwa heshima ya kuwa Mwenyekiti wa Kongamano lenye kungazia historia ya Kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika n Zanzibar na Mizizi Saba inayouzonga Muungano. Kongamano hili ni sehemu ya kuadhimisha ya

Ahsanteni @NgomeyaVijana wa @ACTwazalendo kwa heshima ya kuwa Mwenyekiti wa Kongamano lenye kungazia historia ya Kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika n Zanzibar na Mizizi Saba inayouzonga Muungano. Kongamano hili ni sehemu ya kuadhimisha #Miaka10 ya #MamlakaKamili #MaslahiyaWote
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Yes, Ni kesho na nitakuwepo. Tutajadili kuhusu Chama chetu, nafasi yetu kama Vijana kwenye hatma ya Zanzibar yetu na Tanzania Yetu kuelekea Mamlaka kamili ya Zanzibar na Tanzania ya wote kwa Maslahi ya wote. ACTWazalendo Ngome ya vijana_Official

Yes, Ni kesho na nitakuwepo. Tutajadili kuhusu Chama chetu, nafasi yetu kama Vijana kwenye hatma ya Zanzibar yetu na Tanzania Yetu kuelekea Mamlaka kamili ya Zanzibar na Tanzania ya wote kwa Maslahi ya wote. @ACTwazalendo @NgomeyaVijana
account_circle
shangwe Ayo(@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

Vibe la mwenezi kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo.

Miaka 10 ya kupigania Maslahiya wote
Miaka 10 ya kupigania Zanzibar yenye mamlaka kamili.

ACTWazalendo

Vibe la mwenezi kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo. Miaka 10 ya kupigania Maslahiya wote Miaka 10 ya kupigania Zanzibar yenye mamlaka kamili. @ACTwazalendo
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Hoja yako KC mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na tangazo la kubadilika kwa jina la Tume limenifikirisha sana. Nimejaribu kufikiri kuhusu viapo vya Makamishna wa Tume. Wameapa kuitumikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sio Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Nikawaza hawa hawahitaji kuapa Upya ?…

Hoja yako KC mstaafu @zittokabwe na tangazo la kubadilika kwa jina la Tume limenifikirisha sana. Nimejaribu kufikiri kuhusu viapo vya Makamishna wa Tume. Wameapa kuitumikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sio Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Nikawaza hawa hawahitaji kuapa Upya ?…
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]
Mayahudi hawawi…

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾ [ البقرة: 120] Mayahudi hawawi…
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Being in India and get to hear from Indian Nationals speaking so highly about you, I felt privileged to had a moment with you when you visited Tanzania. Dr. S. Jaishankar (Modi Ka Parivar)

Being in India and get to hear from Indian Nationals speaking so highly about you, I felt privileged to had a moment with you when you visited Tanzania. @DrSJaishankar
account_circle
Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

'Licha ya kauli za kufungua ukurasa mpya wa siasa za kistaarabu kupitia falsafa ya 4R, lakini vitendo vyote vya kiharamia na wizi wa kura vilivyofanyika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 vinaendelea kwenye chaguzi za marudio.'

Makamu Mwenyekiti Bara
Isihaka Mchinjita

ACTWazalendo

'Licha ya kauli za kufungua ukurasa mpya wa siasa za kistaarabu kupitia falsafa ya 4R, lakini vitendo vyote vya kiharamia na wizi wa kura vilivyofanyika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 vinaendelea kwenye chaguzi za marudio.' Makamu Mwenyekiti Bara @MchinjitaIR @ACTwazalendo
account_circle