Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile
Daktari Wa Manesi 💉💊

@mcinikawalamar

Social Media GURU | Thinker Tank | Content Creator

ID: 2341919865

calendar_today13-02-2014 19:51:32

238,238K Tweet

788,788K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya watu wanakuwa wapweke kwa sababu walisalitiwa na kila mtu waliyemwamini, na hivyo kusababisha hofu kubwa ya kuumizwa tena, kupoteza imani kwa ubinadamu, na kujitenga kama njia ya kukabiliana na hali ya kujilinda kutokana na hisia zaidi

𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊  (@makaveli_255) 's Twitter Profile Photo

Full boxed iPhone 13 series available iPhone 13 plain 128Gb-1,400,000 256Gb-1,500,000 iPhone 13 Pro 128Gb-1,600,000 256Gb-1,700,000 iPhone 13 Pro Max 128Gb-1,850,000 256Gb-1,950,000 Free delivery countrywide Free iCloud settings and data transfer ☎️0652795468 📌Mwenge Mataa

Full boxed iPhone 13 series available
iPhone 13 plain
128Gb-1,400,000
256Gb-1,500,000

iPhone 13 Pro
128Gb-1,600,000
256Gb-1,700,000

iPhone 13 Pro Max
128Gb-1,850,000
256Gb-1,950,000

Free delivery countrywide
Free iCloud settings and data transfer

☎️0652795468
📌Mwenge Mataa
Karashani (@angelkarashani) 's Twitter Profile Photo

SiasaZetu ni zao la mradi wa #SAUTIZAO baada ya kuona uhitaji mkubwa wa vijana kupata jukwaa la kusikiliza na kusikilizwa. Mazungumzo yenye umakini huzaa hatua chanya katika maendeleo ya jamii kupitia vijana. #SautiZao #SiasaZetu #MitandaoNaSisi

Sonnino⚡ (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Due to recent events and the need for public safety, X/Twitter was temporarily restricted for major mobile broadband users last month. This has raised concerns about our commitment to internet freedom. While the restriction aims to prevent misinformation and keep the peace,

Due to recent events and the need for public safety, X/Twitter was temporarily restricted for major mobile broadband users last month. 

This has raised concerns about our commitment to internet freedom. While the restriction aims to prevent misinformation and keep the peace,
#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

❓Je, #sautiZao zina umuhimu gani katika kujenga jamii yenye usawa na uwakilishi wa kweli? ❓Bila ushiriki wao, je, demokrasia inaweza kuleta maendeleo endelevu? ❓Je, ni jinsi gani tunaweza kuhakikisha kila mmoja anajumuishwa katika mchakato wa kidemokrasia? #SautiZao

❓Je, #sautiZao zina umuhimu gani katika kujenga jamii yenye usawa na uwakilishi wa kweli?

❓Bila ushiriki wao, je, demokrasia inaweza kuleta maendeleo endelevu?

❓Je, ni jinsi gani tunaweza kuhakikisha kila mmoja anajumuishwa katika mchakato wa kidemokrasia?

#SautiZao
Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Guys naomba kuwasogezea AVANC AUTO GĘSI Mabingwa wa kuweka mfumo wa gęsi kwenye magari kwa gharama nafuu sana. Matumizi ya Gęsi kwenye gari yanasaidia kuokoa kipato chako kwa Asilimia 70%. Karibuni AVANC tuwahudumie kwa umakini mkubwa.

Guys naomba kuwasogezea AVANC AUTO GĘSI Mabingwa wa kuweka mfumo wa gęsi kwenye magari kwa gharama nafuu sana.

Matumizi ya Gęsi kwenye gari yanasaidia kuokoa kipato chako kwa Asilimia 70%.

Karibuni AVANC tuwahudumie kwa umakini mkubwa.
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Vyakula vya kusindika vinapaswa kuwa na taarifa za virutubishi na hatari zake ili mnunuzi apate kuzijua na kuchukua tahadhari #TransFatFreeEAC

Vyakula vya kusindika vinapaswa kuwa na taarifa za virutubishi na hatari zake ili mnunuzi apate kuzijua na kuchukua tahadhari #TransFatFreeEAC
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™ (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Hauna Haja ya Kupanga Foleni ukitaka kuweka Hela zako! Sio Lazima uingie Bank,Tumia ATM zetu na weka pesa zako kwa urahisi wakati wowote, popote ulipo. Ni haraka, rahisi, na salama! Swahiba,CRDB Bank wamerahisisha Huduma! #SwahibaLanguLako.

Hauna Haja ya Kupanga Foleni ukitaka kuweka Hela zako!

Sio Lazima uingie Bank,Tumia ATM zetu na weka pesa zako kwa urahisi wakati wowote, popote ulipo. Ni haraka, rahisi, na salama!

Swahiba,CRDB Bank wamerahisisha Huduma!
#SwahibaLanguLako.
Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Sjawahi kuona Kisimbuzi chenye bei nafuu kama Dstv ndugu zangu, imagine kwa 25K tuu unaona game zote hizi. Burudani yote hii unaipata kwa bei nafuu kabisa ya 25K tuu na Kulipia ni rahisi sana. Bofya *150*53# #MfalmeWaBoma

Sjawahi kuona Kisimbuzi chenye bei nafuu kama Dstv ndugu zangu, imagine kwa 25K tuu unaona game zote hizi.

Burudani yote hii unaipata kwa bei nafuu kabisa ya 25K tuu na Kulipia ni rahisi sana.

Bofya *150*53#
#MfalmeWaBoma
MUDI FOOD FACTORY (@mudimabiriani) 's Twitter Profile Photo

Repost yako 🙏🏿 📍Close na Delina apartment Sinza Mori, Kabla haujafika Kitambaa cheupe On google map location Tag:Mudi mabiriani FRIDAY Biriani timing 09:00-late ☎️0719068333 Email:[email protected] Ya nyama Tsh 6000 Ya kuku Tsh 7000 Biriani firigisi maini Tsh 6000

Repost yako 🙏🏿

📍Close na Delina apartment 
Sinza Mori, Kabla haujafika Kitambaa cheupe 
On google map location Tag:Mudi mabiriani 

FRIDAY Biriani timing 09:00-late 

☎️0719068333

Email:mudimabiriani@gmail.com

Ya nyama Tsh 6000
Ya kuku Tsh 7000
Biriani firigisi maini Tsh 6000
Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Usikose matembezi ya Amani jumamosi hii kuanzia saa mbili asubuhi Hadi saa sita mchana. Kudai Ulinzi wa watoto wetu kumekuwa na matukio mengi ya kudhohofisha ulinzi wa watoto Jiuenge nasi tarehe 14/9/2024 Kuanzia:Viwanja vya St Peters Kumalizia:Viwanja vya Leaders

Usikose matembezi ya Amani jumamosi hii kuanzia saa mbili asubuhi Hadi saa sita mchana.

Kudai Ulinzi wa watoto wetu kumekuwa na matukio mengi ya kudhohofisha ulinzi wa watoto Jiuenge nasi tarehe 14/9/2024

Kuanzia:Viwanja vya St Peters
Kumalizia:Viwanja vya Leaders
Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Wapishi wengi wanapika Chakula vizuri shida kubwa Wanakiaacha wazi chakula hawakifuniki vizuri, kinang'ong'wa na nzi, kinapigwa na upepo hadi kinapoa na kupoteza Ladha

WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Wikiendi hii moto wa EPL unaendelea ndani ya DStv (TZ) Manchester City vs Brentford na Liverpool vs Nottingham. Usikose burudani ya EPL moja kwa moja Jumamosi hii, lipia kifurushi chako mapema kwa kupiga *150*53# #MbungiBampa2Bampa #MfalmeWaBoma

Wikiendi hii moto wa EPL unaendelea ndani ya <a href="/DStv_Tz/">DStv (TZ)</a> Manchester City vs Brentford na Liverpool vs Nottingham. 

Usikose burudani ya EPL moja kwa moja Jumamosi hii, lipia kifurushi chako mapema kwa kupiga *150*53#

#MbungiBampa2Bampa #MfalmeWaBoma
Sonnino⚡ (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Mbali na kupoteza nguvu kazi ya Taifa kutokana na vifo vinavyotokana na magonjwa yasiyo ambukizwa, serikali na wananchi wanatumia gharama kubwa kwa ajili ya matibabu. Wananchi hutumia vipato vyao vikubwa kwa matibabu, hali inayowapunguzia uwezo wa kifedha na kuathiri uchumi kwa

Mbali na kupoteza nguvu kazi ya Taifa kutokana na vifo vinavyotokana na magonjwa yasiyo ambukizwa, serikali na wananchi wanatumia gharama kubwa kwa ajili ya matibabu. Wananchi hutumia vipato vyao vikubwa kwa matibabu, hali inayowapunguzia uwezo wa kifedha na kuathiri uchumi kwa
Balyx (@balyx_) 's Twitter Profile Photo

The End is Here – Everything’s Revealed. Dive into our powerful new Climate Resilience Documentary on YouTube now! 📽️ Click the link to watch: youtu.be/BorZV1UIxAY Don’t miss out on seeing how we’re turning dreams into reality in the fight against climate change.

The End is Here – Everything’s Revealed.

Dive into our powerful new Climate Resilience Documentary on YouTube now! 📽️ 

Click the link to watch: youtu.be/BorZV1UIxAY 

Don’t miss out on seeing how we’re turning dreams into reality in the fight against climate change.