
Man of protocol
@manofprotocol1
Usawa kwa kila mtu
ID: 1568828378211405825
11-09-2022 05:08:09
28,28K Tweet
1,1K Takipçi
5,5K Takip Edilen











"Wao wakikosolewa wanasema wametukanwa, jibuni hoja." Mhe. Joseph Mbilinyi

"Mhe. Tundu Antiphas Lissu aachiwe huru bila masharti yoyote." Mhe. Joseph Mbilinyi

"Nashauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi isitishe mchakato wa uchaguzi ulioutangaza mpaka pale tutakapokuwa na reforms, kwa faida ya Taifa." Mhe. Joseph Mbilinyi


