Julius Joseph Massabo. (@juliusmassabo) 's Twitter Profile
Julius Joseph Massabo.

@juliusmassabo

#MuhambweDreamer

ID: 563662353

calendar_today26-04-2012 09:23:31

60,60K Tweet

9,9K Takipçi

336 Takip Edilen

Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

"Tunawakumbuka na kuwapa heshima wote waliopigania Demokrasia ya Nchi yetu, waliotangulia mbele za haki na walio hai. Kina Maalim Seif, Kina Shaaban Mlowo, kina Bob Makani, kina Jenerali Ulimwengu, kina Marando, kina James Mbatia, kina Freeman Mbowe,...ippmedia.com/nipashe/habari…

Lusungu Mubofu (@theutdcode) 's Twitter Profile Photo

Nimesoma comments naona Abdul Nondo 🇹🇿 kaeleza vizuri kuwa mchakato una baraka ya Katiba yao Binafsi nitakuwa mtu wa mwisho kuwa na shaka kuhusu Zitto Kabwe kwenye masuala ya demokrasia He walks the talk unlike alot of opposition politicians

Julius Joseph Massabo. (@juliusmassabo) 's Twitter Profile Photo

Wala hatuna wakati mgumu chama chetu kiko kwenye program ya kitaifa na Zitto ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Chama Misafara yote minne Ina wajibu wanafanya Zitto anatimiza kazi Aliyotumwa na Chama.

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 💯 (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Anayoongea huyu bibi ni mambo ambayo #Jasusi anayasikia kila mara : Watanzania wengi wameichoka CCM lakini hawana chombo cha kuwawezesha kuing'oa. Waweza kusema "lakini vyama vya upinzani si vipo?" Unfortunately CCM wamesababisha watu wengi waihofie siasa... na taasisi zake.

Gwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜 (@gwamakambughi) 's Twitter Profile Photo

Usalama wa Taifa hawapaswi kuwa na mamlaka ya kukamata na kuweka watu kizuizini kwasababu; 1. Hawana anuani inayojulikana kwa umma, Polisi wana vituo vinavyofahamika na umma. 2.Usalama hawana mamlaka ya kushitaki, Polisi wana mamlaka ya kushitaki.

Julius Joseph Massabo. (@juliusmassabo) 's Twitter Profile Photo

Huo tunashangazwa na misururu mirefu ya Viongozi wa serikali wakienda kuzindua Daraja au zahanati, This is where it all started imagine box Mbili za Rem zimewakusanya hawa jamaa kama vibwengo yaani😂😂

Huo tunashangazwa na misururu mirefu ya Viongozi wa serikali wakienda kuzindua Daraja au zahanati, This is where it all started imagine box Mbili za Rem zimewakusanya hawa jamaa kama vibwengo yaani😂😂
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi Mstaafu wa ACTWazalendo, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe amefanya Mkutano ya hadhara kwenye Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya. Katika hotuba yake, Zitto ameahidi kuwa ACT itakuwa na Wanambarali kuhakikisha kuwa wanapata haki yao. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Kiongozi Mstaafu wa <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a>, Ndugu <a href="/zittokabwe/">Zitto MwamiRuyagwa Kabwe</a> amefanya Mkutano ya hadhara kwenye Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya.

Katika hotuba yake, Zitto ameahidi kuwa ACT itakuwa na Wanambarali kuhakikisha kuwa wanapata haki yao.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Mwanaharakati mashuhuri kanda ya ziwa Thomas Nkola, maarufu kama "Mkulima Mzalendo" aliyejizolea umaarufu kwa utetezi wa wakulima wa pamba, wafugaji na kufungua kesi dhidi ya mawaziri mbalimbali amejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ado Shaibu

Edward Heche (@heche_edward) 's Twitter Profile Photo

Nguvu iliyotumika kusafirisha polisi kuja #Dar na perdiem zao ingeelekezwa kuwatafuta kina #Soka na wenzake labda #maombolezoYaAmani yasingekuwepo kesho,Make kiini chake ni kupotea kwa watu hawa aliyewaamuru Polisi waje kujaa #Dar angeweza kuwaamuru wawatafute kina #soka.

Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba) (@yahayaomary) 's Twitter Profile Photo

Mimi siungi mkono haja 2 kati ya hoja zilizowasilishwa na chama changu ACTWazalendo hoja ya kwanza ni hoja ya tatu, napinga fikra kua "yawezekana pande zote mbili zina hoja za msingi" haya maneno yanapingana na ukweli kua serikali haina hoja yoyote ya msingi kuzuia maandamano.

Mimi siungi mkono haja 2 kati ya hoja zilizowasilishwa na chama changu <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a> hoja ya kwanza ni hoja ya tatu, napinga fikra kua "yawezekana pande zote mbili zina hoja za msingi" haya maneno yanapingana na ukweli kua serikali haina hoja yoyote ya msingi kuzuia maandamano.