kalokola05
@impacthubdar
Tanzania nchi yangu
ID: 1112635227493621760
01-04-2019 08:38:04
264 Tweet
110 Takipçi
24 Takip Edilen
Aliyozungumza Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dkt. Damas Ndumbaro wakati akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka jijini Arusha tarehe 17 Desemba, 2024 Ofisi ya Taifa ya Mashtaka
Maafisa dawati la msaada wa kisheria mpwapwa walifanikiwa kutembelea kata ving’awe mtaa hazina wilayani mpwapwa mkoani dodoma na kuitembelea familia Josephine kutona ambaye anaishi na mjukuu wake John Amphrey mdoe mwenye changamoto ya ulemavu. #MSLAC Wizara ya Katiba na Sheria
Kutoka halmashauri ya manispaa ya kinondoni kata ya mabwepande tulifanikiwa kupita mtaa kwa mtaa kwenye mikusanyiko ya watu na kwa mama lishe kutoa elimu juu ya msaada wa kisheria. #MSLAC Wizara ya Katiba na Sheria SISI NI TANZANIA
Mslac imewafikia wananchi wa Halmashauri ya Mtwara DC kata ya Mayanga wakitoa elimu kwa wananchi wa Kata ya Mayanga na kusikiliza changamoto zao. #MSLAC Wizara ya Katiba na Sheria SISI NI TANZANIA
Nchi yangu kwanza Kituo cha afya kilichopo Kata ya pangani, Halmashauri ya mji wa kibaha kilichogharimu kiasi cha Tshs. 309,000,000/= ambacho kimeshaanza kutoa huduma kwa wananchi. #sisinitanzania #matokeochanya #ssh
Nchi yangu kwanza Majengo Mapya ya hospitali yamejengwa kwa wingi kipindi hiki cha Serikali ya awamu ya sita kwani nasi wakaz wa halmshauri ya Mvomero tunamshukuru Rais Samia kwa kuongeza majengo mengine mapya ktk hospitali hiyo ya wilaya lengo ni kutoa huduma bora kwa wananchi. #DRSSH #MSLAC
Nchi yangu kwanza Manispaa Ya Musoma kazi nzuri imefanywa na Dr Samia Suluhu . Ukarabati wa Hospitali Ya Musoma Manispaa iliyojengwa tangu Ukoloni na Ujenzi wa Majengo Mapya (Meno & Macho). Pongezi kwa Uongozi wa Manispaa Ya Musoma #sisinitanzania #mslac #matokeochanya #ssh
Nchi yangu kwanza Huduma bora imezidi kusogezwa kwa wananchi. Hongera kwa serikali ya awamu ya sitar. #sisinitanzania #nahayandiomatokeochanya #MSLAC #SSHkaziiendelee