
John Heche
@hechejohn
Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
ID: 558686364
https://en.wikipedia.org/wiki/John_Heche 20-04-2012 12:45:14
82,82K Tweet
777,777K Takipçi
1,1K Takip Edilen

Kila mtu anajua na rais anajua kwamba kesi ya Mh Lissu ni ya uongo na uoga wa kupambana nae kwenye majukwaa ya siasa. Rais Samia Suluhu tulipokuja Ikulu uliahidi kuleta Reforms, kuruhusu washindani wako wafanye siasa na sio siasa ya kukusifia na kukupamba. Uliahidi ustahimilivu