H_T_C (@deo_salekio) 's Twitter Profile
H_T_C

@deo_salekio

CMNG

ID: 870537018035638272

linkhttp://www.gmail.com/[email protected] calendar_today02-06-2017 07:06:13

3,3K Tweet

429 Takipçi

434 Takip Edilen

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Mungu tuepushe na nyakati ngumu na ikitokea zikitupata usitunyime nguvu za kushinda.. Tukishindwa sisi basi tupatie watu sahihi kwa wakati sahihi wa kutupatia msaada. 🙏🏾

H_T_C (@deo_salekio) 's Twitter Profile Photo

Mwanza kuna nini? Yaani hapa nimekutana na watu wamevaa nguo za kijani hapa usagara wananiomba lift afu kuna bonge la foleni yaani. Mzee wa kitengo M.D (🅨) nipe update

Mwanza kuna nini? Yaani hapa nimekutana na watu wamevaa nguo za kijani hapa usagara wananiomba lift afu kuna bonge la foleni yaani. Mzee wa kitengo <a href="/ReganTesla_/">M.D (🅨)</a> nipe update
H_T_C (@deo_salekio) 's Twitter Profile Photo

Habari wana X,Nina rafiki yangu mchina anataka kufungua garage anatafuta kijana mwenye ujuzi vizuri wa magari ambae ni fundi mzuri na smart na ngeli inapanda kidogo , aje washauriane amuajiri waanze kazi, kama kuna kijana yupo interested na ana hizo sifa anicheck DM M.D (🅨)