MDUDU (@chrisoversize09) 's Twitter Profile
MDUDU

@chrisoversize09

ONLY ME..!!

ID: 1816200285057925120

calendar_today24-07-2024 19:54:55

266 Tweet

37 Takipçi

576 Takip Edilen

𝐣𝐚𝐦𝐚𝐥 ¹² (@zubeirjamal) 's Twitter Profile Photo

Referee wetu ni changamoto sana, 👉Jana Clement Mzize amenyimwa goal halali kabisa, wala halina kipengele chochote kile. 👉Goal kali sana, lakini waka amua kuwa ni offside

Referee wetu ni changamoto sana,

👉Jana Clement Mzize amenyimwa goal halali kabisa, wala halina kipengele chochote kile.

👉Goal kali sana, lakini waka amua kuwa ni offside
𝐣𝐚𝐦𝐚𝐥 ¹² (@zubeirjamal) 's Twitter Profile Photo

Mwana Lunyasi 🦁🦁, jitahidi kukata ticket ukaisapoti timu yako kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Al masry 👉Timu ina hitaji sapoti ya mashabiki, usi vunjike moyo kwa matokeo ya jana 👉Simba Sports ina nafasi ya kufanya makubwa na kufuzu hatua ya nusu fainal,tuji tokeze 🦁🦁

Mwana Lunyasi 🦁🦁, jitahidi kukata ticket ukaisapoti timu yako kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Al masry

👉Timu ina hitaji sapoti ya mashabiki, usi vunjike moyo kwa matokeo ya jana

👉Simba Sports ina nafasi ya kufanya makubwa na kufuzu hatua ya nusu fainal,tuji tokeze

🦁🦁
𝐣𝐚𝐦𝐚𝐥 ¹² (@zubeirjamal) 's Twitter Profile Photo

Ile finisher ya Nassoro Saadun ni ya kiwango cha juu sana. 👉 Saadun anajua kukaa kwenye nafasi na kutumia nafasi anayo pata. What a goal!!!!

Ile finisher ya Nassoro Saadun ni ya kiwango cha juu sana.

👉 Saadun anajua kukaa kwenye nafasi na kutumia nafasi anayo pata.

What a goal!!!!
MDUDU (@chrisoversize09) 's Twitter Profile Photo

MNAOKULA CHIPS ZA KUMENYEWA NYUMAAAAAA SHAURII YENUU!!! kibaha_finest ni repostie waonee kakaaaa nimekutana na mazitoooo hukuu mjinii! 😔😔😔

MNAOKULA CHIPS ZA KUMENYEWA NYUMAAAAAA SHAURII YENUU!!! 
<a href="/kibaha_finest/">kibaha_finest</a>  ni repostie waonee kakaaaa nimekutana na mazitoooo hukuu mjinii! 😔😔😔