Butogwa Lusangija (@blusangija) 's Twitter Profile
Butogwa Lusangija

@blusangija

ID: 928899747863302144

calendar_today10-11-2017 08:18:52

47 Tweet

50 Takipçi

41 Takip Edilen

Butogwa Lusangija (@blusangija) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nishati,January Makamba (January Makamba ) akiwa Buselesele Chato amewataka Wananchi wa Chato kumzingatia Mbunge wao Mh.Medrad Kalemani sababu anawapigania sana awapo Dodoma na Dar. Waziri Makamba amempa Majiko 100 ya Gesi Kalemani ili kuyasambaza kwa Mama lishe Jimboni Chato

Waziri wa Nishati,January Makamba (<a href="/JMakamba/">January Makamba</a> ) akiwa Buselesele Chato amewataka Wananchi wa Chato kumzingatia Mbunge wao Mh.Medrad Kalemani sababu anawapigania sana awapo Dodoma na Dar. Waziri Makamba amempa Majiko 100 ya Gesi Kalemani ili kuyasambaza kwa Mama lishe Jimboni Chato
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

🔴Breaking News! 🎽 🧦 ⚽ Uzi wa Nyumbani wa timu ya Young Africans uliobuniwa na SHERIA NGOWI ™ umetajwa na ukurasa maarufu wa michezo Afrika katika mtandao wa Twitter ujulikanao kama Africa Soccer Zone kama moja ya uzi uliotengenezwa kwa ubora na ubunifu zaidi barani hapa.

🔴Breaking News!

🎽
🧦
⚽

Uzi wa Nyumbani wa timu ya <a href="/yangasc/">Young Africans</a> uliobuniwa na <a href="/sheriangowi/">SHERIA NGOWI ™</a> umetajwa na ukurasa maarufu wa michezo Afrika katika mtandao wa Twitter ujulikanao kama Africa Soccer Zone kama moja ya uzi uliotengenezwa kwa ubora na ubunifu zaidi barani hapa.
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

Uzi wa Yanga umetajwa kushika namba 2 nyuma ya Uzi wa Timu ya Zamalek ya Misri katika orodha hiyo huku uzi namba 3 wa watani wao ukishika nafasi ya 9 kwa ubora na ubunifu. Credits: sokahub.co.tz Bidhaa Bora Afrika🌍 Designed by SHERIA NGOWI ™ #TimuYaWananchi #sheriangowi

Radio Maria Tanzania (@radiomariatz) 's Twitter Profile Photo

NINI MAANA YA "IHS" ? Wengi tumekuwa tukishangaa mavazi ya mapadre, vitambaa na vitu mbalimbali vya ibada kuwa na alama hiyo (kama kwenye picha hapo)... Leo nataka nikujuze maana yake na historia yake. (jitahidi usome mpaka mwisho)

NINI MAANA YA "IHS" ?
Wengi tumekuwa tukishangaa mavazi ya mapadre, vitambaa na vitu mbalimbali vya ibada kuwa na alama hiyo (kama kwenye picha hapo)... Leo nataka nikujuze maana yake na historia yake.
(jitahidi usome mpaka mwisho)
Makinikia (@askofutza) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale wamiliki wa Range Rover Sports 2005 - 2011 tunae jamaa yetu Eddie anauza hizi taa. Yuko Ilala. Kama unataka Range yako iwe na muonekano tofauti mcheki 0677070000 anazo zote kwa bei poa.

Kwa wale wamiliki wa Range Rover Sports 2005 - 2011 tunae jamaa yetu Eddie anauza hizi taa. Yuko Ilala. Kama unataka Range yako iwe na muonekano tofauti mcheki 0677070000 anazo zote kwa bei poa.
The Joes Stocks & Cryptos Investor (@joerespectfully) 's Twitter Profile Photo

Butogwa Lusangija Clouds bado ni kubwa lakini inasumbuliwa na change in technology. Agreed with you that wana itaji kuwa na watu wemye maono mapya maana ulimwengu ume badilila. Kwa sasa