rap ville (@basedonhiphop) 's Twitter Profile
rap ville

@basedonhiphop

hip hop tools 🛠 lyrics zone ,knowledge zone !! 🎶

ID: 1073231414064226304

calendar_today13-12-2018 15:01:23

550 Tweet

432 Takipçi

879 Takip Edilen

rap ville (@basedonhiphop) 's Twitter Profile Photo

Hawa ni wakali wa freestyle ( on top of the head) off the dome kuanzia kizazi cha kwanza mpaka sasa!! Nani anakosekana hapa kwenye list ni kbc, hashim dogo,saigon,chid benz,ngwair,nikki mbish,godzila,scoda,Madenge ,mteganda,Stan rymes, toxic,Cado,nyenza. Who is GOAT ?

Hawa ni wakali wa  freestyle ( on top of the head) off the dome kuanzia kizazi cha kwanza mpaka sasa!! Nani anakosekana hapa kwenye list ni kbc, hashim dogo,saigon,chid benz,ngwair,nikki mbish,godzila,scoda,<a href="/rollymsouth/">Madenge</a> ,mteganda,Stan rymes, toxic,Cado,nyenza. Who is GOAT ?
rap ville (@basedonhiphop) 's Twitter Profile Photo

Wimbo upi kuliotayarishwa na Mikka mwamba unaupenda zaidi ?? Tp 10 Hardmard - tamala Mad ice -baby gal Chid benzi-mashalaah Ziggy dee - eno mic D knob -kitu gani Dudubaya -mpenzi Inspector -geti kali Balozi - kwenye chart D knob -elimu mtaani Saida karoli- maria salome ?

Wimbo upi kuliotayarishwa na Mikka mwamba unaupenda zaidi ??
Tp 10
Hardmard - tamala 
Mad ice -baby gal 
Chid benzi-mashalaah 
Ziggy dee - eno mic
D knob -kitu gani 
Dudubaya -mpenzi 
Inspector -geti kali 
Balozi - kwenye chart 
D knob -elimu mtaani 
Saida karoli- maria salome ?
rap ville (@basedonhiphop) 's Twitter Profile Photo

Hip hop !@onetheincredibl amesema wakati anafanya uzinduzi wa album yake ya R.A.P kutokana na sponsor kujitoa akajikuta hana pesa ya kulipia sound akamcheki big bro #KitaaREJEX OUT NOW..!!! na bro aka clear mchongo!!! Hakika #KitaaREJEX OUT NOW..!!! ni kaka wa mfano…Mungu amlinde sana kwa love ya hii game..🙏