Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile
Ayubu Madenge

@ayubu_madenge

Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people

ID: 741669824682700800

calendar_today11-06-2016 16:34:00

26,26K Tweet

370,370K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kipimo kikubwa cha imani yako ni uvumilivu wako. Mioyo yetu inapenda kupata kila kitu kwa haraka na kwa wakati huu lakini kila jambo hutokea kwa muda wake. Endelea kuamini katika wakati sahihi wa MUNGU na kamwe usilalamike. Kuwa na subra na endelea kujituma kwa bidiii.