๐—š๐—œ๐—ก๐—œ๐— ๐—•๐—œ ๐Ÿฆ… (@_ginimbi) 's Twitter Profile
๐—š๐—œ๐—ก๐—œ๐— ๐—•๐—œ ๐Ÿฆ…

@_ginimbi

๐—ฆ๐˜๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—ด๐—ถ๐—ฐ ๐—–๐—ผ๐—บ๐—บ. ๐—–๐—ผ๐—ป๐˜€๐˜‚๐—น๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜, ๐—ฃ๐˜‚๐—ฏ๐—น๐—ถ๐—ฐ ๐—ฅ๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—ฃ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—•๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฆ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฐ๐—ถ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜€๐˜!

ID: 1262373640487809031

calendar_today18-05-2020 13:25:28

139,139K Tweet

17,17K Takipรงi

12,12K Takip Edilen

AK47 (@iamofficialten) 's Twitter Profile Photo

Ushawai Kusikia makundi Hatari zaidi Yenye Usawishi Licha Ya Kuwa Ya Kihalifu? Thread 1 . Sinaloa Cartel (Mexico) Kundi hili linaaminika kuwa mojawapo ya magenge makubwa na yenye nguvu zaidi ya dawa za kulevya duniani. Lilianzishwa na Joaquรญn "El Chapo" Guzmรกn.

Ushawai Kusikia makundi Hatari zaidi Yenye Usawishi Licha Ya Kuwa Ya Kihalifu?

Thread

1 . Sinaloa Cartel (Mexico)
Kundi hili linaaminika kuwa mojawapo ya magenge makubwa na yenye nguvu zaidi ya dawa za kulevya duniani. Lilianzishwa na Joaquรญn "El Chapo" Guzmรกn.
๐—š๐—œ๐—ก๐—œ๐— ๐—•๐—œ ๐Ÿฆ… (@_ginimbi) 's Twitter Profile Photo

Mithali 28: 15-16 Kama simba angurumaye au dubu ashambuliaye, ndivyo alivyo mtawala mwovu juu ya maskini. Kiongozi asiye na akili ni mtesi, bali achukiaye tamaa ya mali ataongeza siku za maisha yake.

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

1). Wamezima Telegram 2). Wamezima X Soon Wanafikaโ€”Instagram, Facebook & WhatsAppโ€”Just a Matter of time Maana yake Wale Wote waliojiajiri Onlineโ€”Wanageuka Ma-JOBLESS Andโ€ฆNOBODY Cares! Tuna VIONGOZI wa Ajabu na Very Selfish!

๐—š๐—œ๐—ก๐—œ๐— ๐—•๐—œ ๐Ÿฆ… (@_ginimbi) 's Twitter Profile Photo

Luka 4: 28-30 Wale wote waliokuwa katika sinagogi walipoisikia maneno haya, walijawa na ghadhabu. Wakaondoka, wakamtoa nje ya mji, wakampeleka mpaka kwenye kilele cha mlima ambako mji wao ulikuwa umejengwa, wapate kumtupa chini. Lakini yeye akapita katikati yao, akaenda zake.

Luka 4: 28-30

Wale wote waliokuwa katika sinagogi walipoisikia maneno haya, walijawa na ghadhabu. Wakaondoka, wakamtoa nje ya mji, wakampeleka mpaka kwenye kilele cha mlima ambako mji wao ulikuwa umejengwa, wapate kumtupa chini. Lakini yeye akapita katikati yao, akaenda zake.
๐— ๐—ฟ ๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ผ (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

MfahaM: ๐—•๐—ข๐—• ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐—ก๐—œ Muasisi wa ๐—–๐—›๐—”๐——๐—˜๐— ๐—” akiwa na Edwin Mtei [1966] Hayati Bob Nyanga Makani alizaliwa mwaka 1936 katika Hospitali ya Kolandoto, Shinyanga. Alikuwa ni Mmoja wa watoto wengi katika familia ya Mzee Makani. [ Fungua Uzii ] ๐Ÿงต โฌ‡๏ธ

MfahaM: ๐—•๐—ข๐—• ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐—ก๐—œ 

Muasisi wa ๐—–๐—›๐—”๐——๐—˜๐— ๐—” akiwa na  Edwin Mtei  [1966]

Hayati Bob Nyanga Makani alizaliwa mwaka 1936 katika Hospitali ya Kolandoto, Shinyanga.

Alikuwa ni Mmoja wa watoto wengi katika familia ya Mzee Makani.

[ Fungua Uzii ] ๐Ÿงต โฌ‡๏ธ