Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profileg
Maria Sarungi Tsehai

@MariaSTsehai

Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,

ID:24312877

linkhttps://mariasarungitsehai.medium.com/ calendar_today14-03-2009 02:40:08

694,6K Tweet

1,2M Takipçi

8,2K Takip Edilen

Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo tunajadili: , muungano, Tanganyika - CCM wanataka tusubiri nini?
Kauli ya makamu mkiti wa CCM imerudi yale yaliyosemwa kwa muda kuwa CCM inadai muda wa kupata bado - kwa nini wanataka tusubiri? Suala la kujadili Muungano na uwepo wa…

Leo #MariaSpaces tunajadili: #KatibaMpya, muungano, Tanganyika - CCM wanataka tusubiri nini? Kauli ya makamu mkiti wa CCM imerudi yale yaliyosemwa kwa muda kuwa CCM inadai muda wa kupata #KatibaMpya bado - kwa nini wanataka tusubiri? Suala la kujadili Muungano na uwepo wa…
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Naona mnaleta tena mada ya kutugawa kututoa kwenye reli🤣
Mkishaona kuna ishu imewakalia vibaya mnaleta mambo ya kukamata mashoga!
Yaani tuwe na hasira na mashoga kuliko mnaofisadi mabilioni na kuua ndugu zetu wamaasai na Tarime?
Tuwapuuze!
Focus yetu:

account_circle
Sir Edward Majira(@SimpertE) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Iwe
Serikali ya Tanzania
Serikali ya Tanganyika
Serikali ya Zanzibar

Itamkwe Tanganyika badala ya serikali ya Tanzania Bara.

account_circle
Kefa Wales(@kefajwales) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Muungano ni Tanganyika na Zanzibar (1 ipo nyingine inafichwa kwa makusudi)
Tanganyika sio Tanzania Bara (ukisema Tanzania Bara tunavyo visiwa huku Bara kwamba vinafutika?) Tanganyika ni nchi huru ilipata uhuru wake 9 Disemba 1961. Tanzania bara haijawahi kupata uhuru na haipo

account_circle
Richard Kanje(@KanjeJanje) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Nimemsikiliza kinana
Kwanza nikajuta kupoteza muda na bando langu
Nia aibu kwa taifa lenye watu 60M Halafu kinana Ndio think tank ya taifa
Anaongea very general as if anongea na kindergarten . Neno tanganyika lilikuwa mwiba kwake
Tu naitaka Tanganyika

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Ukitamka Tangayika, au kuweka ramani, bendera au nembo - CCM wanapatwa na kiwewe 🤣🤣
Yaani wako conditioned kutotaja hata kwa bahati mbaya Tanganyika
Ndo maana hata Tanganyika Law Society wanaita TLS au chama cha wanasheria - ukiwaambia wamalize “cha Tanganyika” wanagoma
Kama…

Ukitamka Tangayika, au kuweka ramani, bendera au nembo - CCM wanapatwa na kiwewe 🤣🤣 Yaani wako conditioned kutotaja hata kwa bahati mbaya Tanganyika Ndo maana hata Tanganyika Law Society wanaita TLS au chama cha wanasheria - ukiwaambia wamalize “cha Tanganyika” wanagoma Kama…
account_circle
Alphonce Lusako(@LusakoAlphonce) 's Twitter Profile Photo

Nimejifunza Kuwa Mfuasi wa Misingi/Principles,Kanuni,Taratibu na Sheria za Haki na si Mfuasi wa Mtu Yeyote kwa Cheo Chake. Yeyote anayegongana na Principles Hatetewi kwa Sababu ni Rafiki au ndugu.Misingi Lazima isimame dhidi ya Mtu. Ndio tafsiri ya 'MATURITY'

Nimejifunza Kuwa Mfuasi wa Misingi/Principles,Kanuni,Taratibu na Sheria za Haki na si Mfuasi wa Mtu Yeyote kwa Cheo Chake. Yeyote anayegongana na Principles Hatetewi kwa Sababu ni Rafiki au ndugu.Misingi Lazima isimame dhidi ya Mtu. Ndio tafsiri ya 'MATURITY'
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Dada anatushitua na uporaji Ardhi wanaofanya Waarabu kwa Kasi

Kuna watu wanachanganya uarabu na dini

Haya Dada ameongea hapo wa dini hiyo hiyo sijui watasema nini sasa

account_circle
japhet mmbaga(@kighera50) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Tuuvunje kwanza, Ardhi ni Mali ya Tanganyika, kama wana kipande Chao waonyeshe hati/ Mkataba walikipataje? Wasituambie kuna Kiongozi aliwapa bure, itakuwa ni Rushwa, Tukishauvunja kama una umuhimu tukae kwenye meza ya Mazungumzo Tunaunganaje? Vigezo na masharti kuzingatiwa.

account_circle
loserian(@loserian5) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Tundu Antiphas Lissu Kwa kweli tumpe maua yake.💐💐💐💐 Itatuchukua Karne Moja kupata mtu Jasiri,muwazi,mstahilimu na mkweli kama Tundu Antiphas Lissu na anayependwa na Mungu.

account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Lissu alisema kuendekeza kwamba Rais yuko juu ya sheria akimaliza kupiga Wapinzani Kesho Nape

Kweli Nape akapigwa na watu wa jiwe

Kumbe hawa wanaotajwa kwenye mijadala wengine wameshachezea za uso
Japo Jiwe aliwakunja wote mpaka wazee

account_circle
Dason(@dammyG05) 's Twitter Profile Photo

Huyu mzee alistaafu akakaa pembeni, he has expired, things left for him to handle and care ni kulea wajukuu zake na kutubu maana sio upuuzi anaoongea.
Katiba iliyopo inampa ccm nafasi kubwa ya kuiba uchaguzi, kufanya upuuzi wowote watakavyo.
Wananchi tunataka KATIBA MPYA SASA.

account_circle