Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile
Kigwa Aveki

@avekikigwa

Agriculture Advisor||Farmer||Organic farming Specialist||Manchester united & Simba SC die hard fan

ID: 1224219675376136192

calendar_today03-02-2020 06:35:05

6,6K Tweet

775 Takipçi

209 Takip Edilen

Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Je wajua Ulaji wa mahindi wa nyani, ngedere na Fungo ni tofauti. Nyani na Ngedere hula mchana wakati Fungo hula usiku. Ukifika shamba asubuhi ukatuta mahindi yameliwa basi ujue Fungo huyo. Wako Kigwa Aveki

Je wajua
Ulaji wa mahindi wa nyani, ngedere na Fungo ni tofauti.

Nyani na Ngedere hula mchana wakati Fungo hula usiku.

Ukifika shamba asubuhi ukatuta mahindi yameliwa basi ujue Fungo huyo.

Wako Kigwa Aveki
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Hulka ya vijana wengi kukimbia kilimo na kuwaachia wazee inasababisha ujuzi, uzoefu na teknolojia bora za zamani kupotea wazee wanapofariki. Kazi kwetu vijana Wako Kigwa Aveki

Hulka ya vijana wengi kukimbia kilimo na kuwaachia  wazee inasababisha ujuzi, uzoefu na teknolojia bora za zamani kupotea wazee wanapofariki.

Kazi kwetu vijana

Wako Kigwa Aveki
AGR. Boniphace Mwanje (@pembejeo_agric) 's Twitter Profile Photo

Fungo Life-style yake ni Nocutunor behavior Looks-Like yeye anafanya mashambulizi yake panapo giza jembamba (Dim-Light) yaani hana tofauti kama Fall-Army Worm (Viwavi jeshi) ….. Wao shughuli ni usiku then Mchana huwezi waona

Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Upotevu wa Mazao makuu ya nafaka nchini ~Mahindi 15.5% ~Mpunga 10.7% ~Matama 12.5% Bado juhudi za ziada inabidi kufanyika kiwango hiko ni kikubwa sana. Wako Kigwa Aveki

Upotevu wa Mazao makuu ya nafaka nchini
~Mahindi 15.5%
~Mpunga 10.7%
~Matama 12.5%

Bado juhudi za ziada inabidi kufanyika kiwango hiko ni kikubwa sana.

Wako Kigwa Aveki
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Kutokana na lishe duni hupelekea 53% ya wajawazito nchini Tanzania kuwa na upungufu wa damu Sekta ya kilimo tunakazi ya kufanya lakini hata kama tukizalisha kwa wingi bila ya vipato mfukoni bado changamoto itabaki pale pale. Tutazalisha watashindwa kununua 😁 Wako Kigwa Aveki

Kutokana na lishe duni hupelekea 53% ya wajawazito nchini Tanzania kuwa na upungufu wa damu

Sekta ya kilimo tunakazi ya kufanya lakini hata kama tukizalisha kwa wingi bila ya vipato mfukoni bado changamoto itabaki pale pale. Tutazalisha watashindwa kununua 😁

Wako Kigwa Aveki
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Kwa mwaka tunazalisha mahindi zaidi ya tani milioni 7 kwa kuogopa ushindani wa kibiashara huko walikosaini mikataba wakaweka vizuizi viiiingi mwisho wa siku wameshindwa kinunua mzigo wote watu wanalia bei haiongezeki 😁 Wako Kigwa Aveki

Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Je wajua Ukitumia kiuagugu chenye FORMESAFAN na IMAZETHAPYR kwa ajili ya kuzuia magugu kwenye Soya na Karanga msimu unaofata kwenye shamba hilo hilo ukipanda mahindi hayatofanya vizuri. Usije sema umerogwa Wako Kigwa Aveki

Je wajua
Ukitumia kiuagugu chenye FORMESAFAN na IMAZETHAPYR kwa ajili ya kuzuia magugu kwenye Soya na Karanga msimu unaofata kwenye shamba hilo hilo ukipanda mahindi hayatofanya vizuri.

Usije sema umerogwa

Wako Kigwa Aveki
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku tulikuwa na mjadala mkali sana kuhusu kuoza kitako (Brossom end rot) na kutumia booster au mbolea yenye Calcium. Ripoti kutoka vyuo vya kilimo (India na USA) wanaandika ili kuzuia tatizo weka mbolea yanye Calcium wiki 1 baada ya tunda kutengenezwa Wako Kigwa Aveki

Kuna siku tulikuwa na mjadala mkali sana kuhusu kuoza kitako (Brossom end rot) na kutumia booster au mbolea yenye Calcium.

Ripoti kutoka vyuo vya kilimo (India na USA) wanaandika ili kuzuia tatizo weka mbolea yanye Calcium wiki 1 baada ya tunda kutengenezwa

Wako Kigwa Aveki
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Kwa kutegemea aina ya zao na jiografia wakulima wa Tanzania hupoteza 40% ya Mazao yao baada ya kuvuna. Bado tunasafari ndefu sana hasa kwa Mazao ya mbogamboga na matunda

Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Usimamizi mzuri wa visumbufu vya mazao hauongezi uwezo wa mazao kutoa mavuno mengi. Ila inasaidia kupunguza upotevu wa Mazao 😁. Wako Kigwa Aveki

Usimamizi mzuri wa visumbufu vya mazao hauongezi uwezo wa mazao kutoa mavuno mengi. Ila inasaidia kupunguza upotevu wa Mazao 😁.

Wako Kigwa Aveki
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Mkulima kunde zake zimeshambuliwa na aphids anataka anunue kiuatilifu elfu 5 nilimwambia asininue aache tu. Kitu wakulima wengi hawafahamu "VIUATILIFU VINAHITAJI PESA KADRI UTUMIAVYO KWA WINGI NDIVYO PESA INAZIDI KUTUMIKA NA NDIO FAIDA HUZIDI KUPUNGUA" 😁 Wako Kigwa Aveki

Mkulima kunde zake zimeshambuliwa na aphids anataka anunue kiuatilifu elfu 5 nilimwambia asininue aache tu.

Kitu wakulima wengi hawafahamu "VIUATILIFU VINAHITAJI PESA KADRI UTUMIAVYO  KWA WINGI NDIVYO PESA INAZIDI KUTUMIKA NA NDIO FAIDA HUZIDI KUPUNGUA" 😁

Wako Kigwa Aveki
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Nilitarajia Ukraine wangekuwa wa kwanza kuzuia kusafirisha Mazao yao nje ya nchi sababu ya vita hivyo usalama chakula kwao ungepungua Nchi ambayo maeneo yapo, mvua zinanyesha, kiongozi wa wizara nyeti anazuia export. Staajabu ya Musa uone ya .. Yale ya firauni ndio haya sasa