Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!


To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID: 458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

82,82K Tweet

260,260K Followers

2,2K Following

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Sisi wazazi wa watoto wa kike,ombi letu kwa wazazi wa watoto wa kiume ni kuwalea watoto wenu wajue kujali,kusamehe,na kuwa na imani kwa wanawake.Sisi tukiwaandaa wanetu wa kike kuwa wake na mama wema haisaidii sana ikiwa ninyi hamuwaandai wenu kuwa waume na baba bora. Ni rai tu!