Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!


To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID: 458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

82,82K Tweet

260,260K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Bahati mbaya sana binadamu ni kiumbe cha hisia na huzitumia zaidi katika maamuzi yake, na tafsiri yake juu ya maneno unayomuambia na matendo unayomfanyia. Vile anavyojisikia mtu ndio muhimu zaidi kuliko kile ulichokidhamiria kumuambia ama kumfanyia. Tuwe makini na hisia za watu!