Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!


To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID: 458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

82,82K Tweet

260,260K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Kukusamehe ni hiyari yake, kuomba msamaha ni wajibu wako. Kuishi na deni la samahani kwa uliyemkosea ni mzigo mzito. Usikubali kuubeba ukuelemee. Wewe tua mzigo wako, mtwishe mzigo wake.