Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!


To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID: 458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

82,82K Tweet

260,260K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Dingi ni nani? Dingi ni yule ambaye hupishana na amani mlangoni, akiingia nyumbani amani inatoweka na akiondoka nyumbani amani inaingia ndani ya nyumba. Mshua ni nani? Mshua ni yule ambaye akiingia nyumbani furaha inatawala nyumba na akitoka upweke unatawala nyumba.