Njali The Real Great (@thenjali) 's Twitter Profile
Njali The Real Great

@thenjali

ID: 1358988508476690432

calendar_today09-02-2021 03:58:23

189 Tweet

133 Followers

1,1K Following

Njali The Real Great (@thenjali) 's Twitter Profile Photo

Uwezo tunao tatizo ๐Ÿ‘น connection ๐Ÿ‘นElimu tunayo tatizo ๐Ÿ‘น connection ๐Ÿ‘นSifa tunazo tatizo connection๐Ÿ‘นNia tunayo tatizo connection ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟTunaweza kufanya vingi tatizo connection ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟUzoefu tunao tatizo connection ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ๏ธโœ๏ธ

Njali The Real Great (@thenjali) 's Twitter Profile Photo

Naamini Mh Wetu utatekereza Hilo kwani hujawahi kutuangusha binafsi Mh Ummy Mwalimu na Imani Naye Ni mchapa kazi mzuri mama chapa kazi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ๏ธ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Njali The Real Great (@thenjali) 's Twitter Profile Photo

Safi Mh kwa kuliona Hilo Ahsante kwa jitihada kubwa ili watoto wetu wapate Elimu๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ๏ธโœ๏ธ๐Ÿ™๐Ÿ™

Njali The Real Great (@thenjali) 's Twitter Profile Photo

Kazi TEMBO Mshahara SISIMIZI Daaaaah Mwl Chaos kazi malipo mbinguni bhana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Ooh kikosi kazi blah blah sijui nini! Baada ya yule mwanaharakati mwenzenu kushiriki na kutoa maoni yake sasa nawasogezea mtu wenu wa NGUVU Prof Assad Ndiyo mjue sasa UFIPA mnaachwa peke yenu na siasa zenu za kitoto na ujinga kwenye mambo mnayosusa! Kwa kifupi HAMNA UMUHIMU

Ooh kikosi kazi blah blah sijui nini! Baada ya yule mwanaharakati mwenzenu kushiriki na kutoa maoni yake sasa nawasogezea mtu wenu wa NGUVU Prof Assad

Ndiyo mjue sasa UFIPA mnaachwa peke yenu  na siasa zenu za kitoto na ujinga kwenye mambo  mnayosusa! 

Kwa kifupi HAMNA UMUHIMU