Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile
Dodoma Post

@thedodomapost

Karibu kwenye ukurasa rasimi wa Tweeter "The Dodoma Post' Kwa Habari, Matangazo, na Taarifa za matukio yaliyojiri Ulimwenguni..

ID: 1608168368489611264

linkhttp://Thedodomapost.co.tz calendar_today28-12-2022 18:30:12

107 Tweet

46 Takipçi

64 Takip Edilen

Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024. ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

 ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure