
Tanzania Bound Buses
@tboundbuses
Tunakupa taarifa kuhusu njia zote za basi nchini.
Powered by Bus Community
For Ads Only: Karibu DM
ID: 3624270502
https://x.com/i/communities/1563434978003718144 11-09-2015 21:11:16
99,99K Tweet
60,60K Followers
2,2K Following

Oii Tanzania Bound Buses na wanao wangekua fair hv


Tanzania Bound Buses barabara safi kwa maendeleo ya kitaifa ππππ

Tanzania Bound Buses Mabasi ya zamni ya TBR ni - Sabena - Naaman's - Nbs - Sasebosa -Enzi hiyo Sabena anapiga Tbr-mbeya via Sikonge-kambikatt. -Nbs anapiga tbr-Ars via nzega, igng - Naaman's anapiga Tbr-Mwz kupitia nzga,shy Time hyo njia mbovu kwel hayo mabas yote yanaendeshw na watoto wa kiarabu









Tanzania Bound Buses Adventure-360 Dodoma-Bukoba-Karagwe. Kutoka Uhayani

Tanzania Bound Buses Adventure-360 Tunza hii reply. Kampuni inaitwa IJUKA LUXURY. Zinakuja nne, mbili za kawaida na mbili choo ndani. Capital city Dodoma kwenda kule kwenye maji mengi.


Tanzania Bound Buses umepata jibu la swali lako?
