Tatu Abraham Manyilizu (PhD) (@tatu_manyilizu) 's Twitter Profile
Tatu Abraham Manyilizu (PhD)

@tatu_manyilizu

Politics at the Dinner Table

ID: 3227772711

calendar_today02-05-2015 08:12:04

1,1K Tweet

7,7K Followers

30 Following

Mwita C. Mwita (@mwitah_tz) 's Twitter Profile Photo

Tanzania's state enterprise portfolio has achieved a historical financial performance in FY 2024/2025, generating TZS 1.028 trillion in returns a 68% year-over-year increase that represents the highest collection in the country's history. This performance across 213 entities

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Kesi kafungua mwanachama wa Chadema, hoja zake hazijajibiwa mahakamani wala mtandaoni… kama mnaona anadanganya, toeni press release mujibu hoja zake kuhusu mgawanyo wa rasilimali za chama… anajua alichofanya, chama kilikuwa kinaendeshwa kiholela na tuliwaambia.. sasa hivi

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Wakati tunawaambia CHADEMA inaongozwa na Mbowe kama saccos, mlitutukana… sasa hivi mnaujua ukweli bado mnatulaumu sisi tuliowasanua toka zamani.. kuleni chuma hicho

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Na haya ndio tulikuwa tunayasema sisi chadema inaogozwa kama saccoss… sasa waliokuwa wanaongoza kama saccoss wanaijua hii siri, wanaitumia mahakamani.. wakati tunawasanua mlitutukana

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

NI SISI vijana wa CCM tulikuwa tunaiita chadema Saccoss… ni sisi tuliwaambia chadema inaliwa na watu ndio mana hata ofisi haijengi.. mnavuta shuka asubuhi! Kuleni vyuma vinakuja

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Unavyoona kina Sheikh Ponda anaopt ACT over Chadema unaweza usielewe… ila maneno haya pia alisema NCCR wakati anazaa TLP, CUF wakati anazaa ACT, na sasa Chadema wakati anazaa CHAUMMA.. TUTAKUWEPO

Mwita C. Mwita (@mwitah_tz) 's Twitter Profile Photo

''The real threat to democracy and human rights in Africa today is not found in Dodoma or Dar es Salaam. It emanates from foreign newsrooms, editorial boards, and activist cells that have an insatiable hunger for African failure. What we see in the WSJ article is a coordinated

Mwita C. Mwita (@mwitah_tz) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 2024/25 mikopo kwa sekta binafsi iliendelea kukua kwa kasi nzuri sana ambapo tulikua na ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi kwa wastani wa asilimia 12.4. Sekta zilizoongoza kupokea mikopo hiyo ni kilimo (41%), uzalishaji viwandani (16.3%), mikopo katika shughuli binafsi

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

“Ninamshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa jinsi alivyoniamini na kuniteua kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, na hivyo kunifanya kuwa sehemu ya timu yake muhimu ya kutafsiri na kutekeleza maono ya serikali yake. Ni nafasi hii ambayo leo imenipa fursa ya kusimama

“Ninamshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa jinsi alivyoniamini na kuniteua kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, na hivyo kunifanya kuwa sehemu ya timu yake muhimu ya kutafsiri na kutekeleza maono ya serikali yake. Ni nafasi hii ambayo leo imenipa fursa ya kusimama
Mwita C. Mwita (@mwitah_tz) 's Twitter Profile Photo

Uelekeo wa Kiuchumi wa Tanzania kwa Mwaka ujao wa Fedha yaani 2025/26 uko centred around; (i) Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa hadi kufikia asilimia 6.0 mwaka 2025 kutoka asilimia 5.5 ya mwaka 2024. (ii) Kuendelea kudhibiti mfumuko wa bei kubaki kwenye wigo wa

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kazi Dodoma asubuhi, jioni hii nimewasili Jijini Mwanza na kisha kuanza safari kwa barabara kuelekea Mkoa wa Simiyu kwa ziara ya kikazi. Njiani nikisalimiana na wananchi. Katika miji na vijiji, ninafurahi kuona matunda ya hatua kubwa za maendeleo tunazopiga katika

Baada ya kazi Dodoma asubuhi, jioni hii nimewasili Jijini Mwanza na kisha kuanza safari kwa barabara kuelekea Mkoa wa Simiyu kwa ziara ya kikazi. Njiani nikisalimiana na wananchi. 

Katika miji na vijiji, ninafurahi kuona matunda ya hatua kubwa za maendeleo tunazopiga katika