Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile
Ivan Tarimo

@tarimoivan

Co-Founder Partner Bankable TZ

ID: 1275812661402513409

calendar_today24-06-2020 15:27:20

38 Tweet

1,1K Followers

82 Following

Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

Kasi ya ukuaji wa wastani wa pato ni tofauti ya kasi ukuaji uchumi na kasi ya ukuaji wa idadi ya watu. Tukitaka tupae zaidi kila mtu achape kazi mtaani (biashara, kuwekeza, kuzalisha, kuuza,kununua,kujifunza) zaidi ya anavochapa kazi nyumbani! Kazi Mtaani>Kazi Nyumbani! Go TZ Go!

Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

It was always a just a matter of time...Finally Digital Banking Services that are absolutely free. Yes FREE banking services ZERO Charges. Welcome Ara! Join the revolution! ara.co.tz

Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

Cha kusikitisha ni mabweni kuteketea kwa moto. Cha kushangaza ni bima ya jengo la bweni la millioni 100 ni kama 12,500 kwa mwezi wakati bima ya IST ni kama 32,000 kwa mwezi. Cha kufikirisha na mazingaombwe ni pale IST ina bima ila bweni linalolaza wanafunzi halina! ElimuBimaSasa!

Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

"Never let a crisis go to waste". Ni Muda sasa: 1.Vunja Bodi ya Ligi. 2.Unda Ligi Kuu Co Ltd kampuni binafsi itakayoendesha, ratibu na kunadi Ligi Kuu. 3.Toa kivuli cha uTFF ama uTimu yeyote kwenye undeshaji wa ligi. Hii itajenga hamasa kwa wadhamini na mashabiki. #mageuzisokatz

Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

Kweli dhahabu imenoga!! Ndani ya miaka 5 bei imeongezeka 74%! Billionaire Investor Warren Buffet kanunua hisa za Barrick. Karibu Tanzania!! Kale kazoezi ka kununua dhahabu na Reserves zetu "kama tulikafanya kweli" sasa tutakua tunachekelea....Ila kama hatukufanya Majuto ni....

Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

Dear Ken, This is to say "Thank You". You spoke little but always said much. You instructed quietly but always showed us volumes. You didn't like to be seen much but how we can't forget your image, presence and support. RIPBabaNico. Stanbic CEO 2014-20.

Dear Ken,
This is to say "Thank You". You spoke little but always said much. You instructed quietly but always showed us volumes. You didn't like to be seen much but how we can't forget your image, presence and support. 
RIPBabaNico. 
Stanbic CEO 2014-20.
Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

The hottest financial asset in town 2020 was not real estate, not Mr Kuku, not stocks, not mutual funds but Treasury BONDS. Total volume of Bonds traded in 2020 was a record TZS 2.1 Trillion, about 1.5% of GDP and is more than the volume of past 5 years Combined! Well done DSE

Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

Prof Benno Ndulu is "The Nyerere" of Economics and Regional Economic Development the way Mwalimu Nyerere was "The Ndulu" of Politics and Regional Political Development. Great Ambassadors of Tanzanian intellect and spirit. Your legacy shall live on. RIP Prof.

Prof Benno Ndulu is "The Nyerere" of Economics and Regional Economic Development the way Mwalimu Nyerere was "The Ndulu" of Politics and Regional Political Development. Great Ambassadors of Tanzanian intellect and spirit.
Your legacy shall live on. RIP Prof.
NBCTanzania (@nbctanzania) 's Twitter Profile Photo

Ni rasmi sasa. Tunafurahi sana kuwa wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ⚽️🏟. Kile kitendawili tumekitegua leo. #NBCPremierLeague #NBCDaimaKaribuNawe

Ni rasmi sasa. Tunafurahi sana kuwa wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ⚽️🏟. Kile kitendawili tumekitegua leo.
 #NBCPremierLeague #NBCDaimaKaribuNawe
Ivan Tarimo (@tarimoivan) 's Twitter Profile Photo

Licha ya TZ kuwa uchumi #10 Africa, Benki zetu kubwa mbili ni namba 64 na 71 Africa. Licha ya changamoto nyingine , waliotutangulia na watakaotupita kesho wamekua na mikakati ya kujinadi kama Financial Centres kuvutia mitaji, ujuzi na ubunifu. DarFinancialCentre! Is it time?