
TPA_Official Page
@tanzaniaportshq
Official Twitter Account for Tanzania Ports Authority (TPA) which regulates and licenses port, marine services and port facilities. Free Number 0800-110032/47.
ID: 3253403617
http://www.ports.go.tz 23-06-2015 06:12:30
762 Tweet
43,43K Takipçi
72 Takip Edilen







Had a productive meeting with Director General,Tanzania Ports Authority Mr Eric Benedict Hassimi TPA_Official Page ;conveyed interest of Indian companies to work in existing & new ports in #Tanzania #IndiaTanzania Dr. S. Jaishankar V. Muraleedharan V. Muraleedharan Invest India








TPA imetangazwa kuwa Bingwa wa Jumla wa Michezo ya SHIMMUTA kwa mwaka 2021 iliyofanyika Morogoro. TPA imenyakua ushindi huo mara baada ya kufanya vizuri na kukusanya vikombe vingi katika michezo mbalimbali.@WizarayaUJnaUC Eric B. Hamissi


Timu ya Kamba ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imecheza mchezo wa kirafiki wa kuvuta Kamba na wachezaji wa TPA ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Timu hiyo ya Bunge kwenye kushiriki Michezo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.Eric B. Hamissi


Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Eric Hamissi amekabidhiwa na Wanamichezo wa TPA Kombe la Ushindi wa Jumla la Michezo ya SHIMMUTA 2021 mara baada ya TPA kuibuka mabingwa wa jumla wa Michezo hiyo iliyomalizika mjini Morogoro hivi karibuni.Eric B. Hamissi Samia Suluhu @WizarayaUJnaUC


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi matumizi Gati namba Sifuri hadi Saba yaliyoboreshwa kupitia Mradi wa DMGP. Hafla imefanyika katika Bandari ya DSM Disemba 04,2021. Samia Suluhu Eric B. Hamissi @WizarayaUJnaUC Msemaji Mkuu wa Serikali
