Tanzania History (@tanzaniahistory) 's Twitter Profile
Tanzania History

@tanzaniahistory

TANZANIA History Official Page. Ukurasa wa Historia ya #TANZANIA. Retweets & Likes not endorsements. Photo credits go to its owners. Hashtag #TanzaniaHistory

ID: 2799930882

calendar_today09-09-2014 13:56:59

18,18K Tweet

36,36K Followers

1,1K Following

Sky Sports Boxing (@skysportsboxing) 's Twitter Profile Photo

Hassan Mwakinyo caused a ๐‡๐”๐†๐„ upset against Sam Eggington when he last fought in the UK ๐Ÿ’ฅ Will he do the same again against Liam Smith? ๐Ÿ‘€ #SmithMwakinyo | @Boxxer | September 3rd

Sky Sports Boxing (@skysportsboxing) 's Twitter Profile Photo

๐–๐ข๐ฅ๐ฅ ๐ก๐ž ๐œ๐š๐ฎ๐ฌ๐ž ๐š๐ง๐จ๐ญ๐ก๐ž๐ซ ๐ก๐ฎ๐ ๐ž ๐ฎ๐ฉ๐ฌ๐ž๐ญ ๐จ๐ง ๐”๐Š ๐ฌ๐จ๐ข๐ฅ? ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ HASSAN ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ MWAKINYO ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #SmithMwakinyo | @Boxxer | #FightNightLiverpool

Tanzania History (@tanzaniahistory) 's Twitter Profile Photo

DC WA KIKOLONI AJIUA, KISA WIVU WA MAPENZI: Hili ni kaburi la Mkuu wa Wilaya wa kwanza Bagamoyo Bw. William Francis Bamphilde (Mzungu) aliyejinyonga baada ya kumfumania mke wake akifanya tendo la ndoa na mfanyakazi wake Mswahili. Picha kwa hisani ya Victor Richard (Msafiri).

DC WA KIKOLONI AJIUA, KISA WIVU WA MAPENZI: 
Hili ni kaburi la Mkuu wa Wilaya wa kwanza Bagamoyo Bw. William Francis Bamphilde (Mzungu) aliyejinyonga baada ya kumfumania mke wake akifanya tendo la ndoa na mfanyakazi wake Mswahili.
Picha kwa hisani ya Victor Richard (Msafiri).
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Paul Rupia. Tumeondokewa na mtu aliyetoa mchango mkubwa katika masuala ya kidiplomasia, mageuzi ya kiuchumi na utumishi wa umma, na aliyeweka mbele maslahi ya Taifa. Mungu amweke mahali pema. Amina.

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Paul Rupia. Tumeondokewa na mtu aliyetoa mchango mkubwa katika masuala ya kidiplomasia, mageuzi ya kiuchumi na utumishi wa umma, na aliyeweka mbele maslahi ya Taifa. Mungu amweke mahali pema. Amina.
Tanzania History (@tanzaniahistory) 's Twitter Profile Photo

Mnamo tarehe 17 Septemba, 1972 majeshi ya Tanzania na wafuasi wa Rais Apolo Milton Obote waliokuwa wamekimbilia Tanzania wanaingia Uganda.

Tanzania History (@tanzaniahistory) 's Twitter Profile Photo

#History 19-22 July 1979-Queen #Elizabeth ฤฐฤฐ of the #UK visited #Tanzania. She visited #Arusha, #Dar es Salaam, #Zanzibar, and #Kilimanjaro.

Tanzania History (@tanzaniahistory) 's Twitter Profile Photo

31 Desemba 1944 - Augustino Lyatonga Mrema, mwanasiasa wa Tanzania anazaliwa. Picha: Augustino Mrema (kulia) na John Magufuli mwaka 2015.

31 Desemba 1944 - Augustino Lyatonga Mrema, mwanasiasa wa Tanzania anazaliwa. Picha: Augustino Mrema (kulia) na John Magufuli mwaka 2015.