CHOLLO MASTER(@Chollomaster_) 's Twitter Profile Photo

Ukimsikiliza Huyu Mkuu wa Mkoa Utapata jibu kweli kumbe sio kila Mtu anaenunua gari amefanya mafekeche ila nikujipangia.

Mwalimu yupo kijijini anagari yake Safi Carol Ndosi dada hebu sikiliza kidogo .

account_circle
JIBU(@JIBU64221) 's Twitter Profile Photo

ใŠใฏใ‚ˆใ†ใ”ใ–ใ„ใพใ™๐Ÿ˜Š
ๆ˜จๆ—ฅใฏใŠๅฅฝใฟ็„ผใใ‚’้ฃŸในใซ่กŒใใพใ—ใŸโœจใŠใ„ใ—ใ‹ใฃใŸใงใ™๐Ÿ˜‰
ไปŠๆ—ฅใ‚‚ใ‚ˆใ‚ใ—ใใŠ้ก˜ใ„ใ—ใพใ™๐ŸŒท

#ใƒฏใƒณใƒข
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake.Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye mazungumzo yetu ambapo nilikuwepo pamoja na Kamanda Wenje, Heche,Msigwa na Mkti F.Mbowe, Mh Lissu aliongea maneno haya โ€œ Nanukuu โ€œโ€ฆ

๋‚ด์ธ์ƒ(@jibu196003) 's Twitter Profile Photo

๋นˆ์ง€๋…ธ ์ด๋ ‡๊ฒŒ ์•Œ๊ณ ์ž‡๋Š”๊ฒŒ ๋” ๋†€๋ผ์›€

account_circle
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Kunamda nikikaaa najiuliza nitafanya jambo Gani la kumfurahisha Mungu angalau kulipa fazila angalau serusi. Kidogo ya mema ambayo amenitendea nakosa jibu Ila inabidi tu nizidishe Ibada zaidi na kutenda mema katika maisha yangu ya hapa duniani

Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Simple IQ and BRAIN ๐Ÿง  test,

Hii Najua wengi watakosa ingawa jibu liko wazi kabisa.

Glass ipi itakua ya kwanza kujaa?

Simple IQ and BRAIN ๐Ÿง  test,

Hii Najua wengi watakosa ingawa jibu liko wazi kabisa.

Glass ipi itakua ya kwanza kujaa?
account_circle
Ndesoma(@edwrdchr) 's Twitter Profile Photo

Aisee mpira ni raha

Ushawahi ona skills kama hizi

what a football

'Babe sitaki uangalia mampira '

jibu kama mwanaume alitoka kuangalia hii vedio๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

account_circle
Fredy Njeje(@fredynjeje) 's Twitter Profile Photo

Wengi tukiambiwa tunamfahamu mnyama Twiga, jibu letu litakuwa ndiyo, lakini ukiambiwa useme fuvu hili ni la Twiga Jike au Dume utaweza kutambua? Kama unaweza tuambie hapa, Tembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha utapata undani wake na mengine mengi

๐Ÿ“ธ Fredy Njeje

#Localtourtz
๐Ÿ“ธ @fredynjeje
account_circle