Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Mabingwa wa kihistoria Young Africans Sports Club tumezindua kadi za kimataifa za uanachama wa Klabu inayofahamika kama โ€˜NBC Yanga Membership Cardโ€™.

Hatua hii kwa pamoja na faida nyingine inalenga kurahisisha malipo ya

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimekuwa na mazungumzo mazuri na kaka yangu, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Recep Tayyip ErdoฤŸan. Ziara hii ni mwendelezo wa mageuzi kwenye utekelezaji wa sera yetu ya Mambo ya Nje kupitia Diplomasia ya Uchumi. Thamani ya biashara baina ya nchi zetu imekua;

Mohammed Dewji MO(@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Kumbuka kwamba wewe kama mjasiriamali, silaha yako kubwa ni uvumilivu na kuthubutu; pasipo kukata tamaa.

Biashara ni mchakato, lazima uwe mvumilivu na uende; hatua kwa hatua bila kutaka njia za mkato.

account_circle
DENIE..(@Iam_denie) 's Twitter Profile Photo

Kwanini kwenye mataifa ya Ulaya Biashara ya wadada poa ina onekana kama kazi nyingine , lakini kwaninu uku Africa ina onekana kama kazi mbaya sana ๐Ÿค”

Hii ni Marekani wadada wakijiuza live kabisa
Angalia video chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Waziri wa Kilimo Hussein M Bashe , report ya 2023 /4 inasema katika kipindi cha miaka mitano, 2019-2023, hakukuwa na ongezeko la kuridhisha la uzalishaji wa mazao ya biashara.

1. anasema bozi za udhibiti wa mazao hazikuwa na Mpango-Mkakati wa kuziwezesha

Mheshimiwa Waziri wa Kilimo @HusseinBashe , report ya #CAG2023/4 inasema katika kipindi cha miaka mitano, 2019-2023, hakukuwa na ongezeko la kuridhisha la uzalishaji wa mazao ya biashara. 

1. #CAG anasema bozi za udhibiti wa mazao hazikuwa na Mpango-Mkakati wa kuziwezesha
account_circle