HUU MSIMU GUEDE ANA MAGOLI MANGAPI?
89’ Yanga Sc 3-0 Tabora Utd
⚽️ Ki Aziz 35’
⚽️ Musonda 65’
⚽️ Guede 82’
#CRDBBankFederationCup
#WasafiSports
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. milioni 1 na Yanga ikitozwa faini ya Sh. milioni 5 kwa kosa la kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kupitia milango isiyo rasmi katika mchezo wa Dery ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi ya Simba uliochezwa Aprili 20, 2024.
#WasafiSports
Mchezaji Clatous Chama wa klabu ya Simba amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji Nickson Kibabage wa klabu ya Yanga wakati mchezo wa Derby Kati ya Yanga dhidi ya Simba, uliopigwa Aprili 20, 2024.
#WasafiSports
FT: Yanga Sc 3-0 Tabora Utd
⚽️ Ki Aziz 35’
⚽️ Musonda 65’
⚽️ Guede 82’
#CRDBBankFederationCup
#WasafiSports
Mchezaji Lameck Lawi, wa Coastal Union amefutiwa kadi nyekundu aliyoonyeshwa na mwamuzi wa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union baada ya kuthibitika kuwa mwamuzi wa kati pamoja na mwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo huo walishindwa kutafsiri vema Sheria.
#WasafiSports
Ihefu imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB baada kumuondosha Mashujaa kwa idadi ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya 0-0.
#WasafiSports
Klabu ya Mashujaa imetowa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kufanya vitendo vinavyashiria imani za kishirikina kwenye uwanja wa Azam Complex wakati wakifanya mazoezi ya mwisho siku moja kabla mchezo huo…instagram.com/p/C6bmTyMscHf/…
#WasafiSports
Hapa sio makao makuu ya klabu ya Yanga, bali ni nyumba ya mtu ya kuishi.
Unaweza kuipenda klabu yako namna hii ?
#WasafiSports