Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile
Wasafifm

@wasafifm

The official Twitter page for Wasafi FM #SendYourMusic to [email protected]

ID: 942026498533478400

linkhttps://wasafimediagroup.co.tz calendar_today16-12-2017 13:39:54

17,17K Tweet

150,150K Followers

1 Following

Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba,

Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing. Katika hotuba yake, alisisitiza kujitolea kwa Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na China, hasa katika miundombinu na maendeleo ya kiuchumi.

Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia  mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing. 

Katika hotuba yake, alisisitiza kujitolea kwa Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na China, hasa katika miundombinu na maendeleo ya kiuchumi.
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Watanzania wanaoishi nchini China (Diaspora) wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara, Jijini Beijing tarehe 06 Septemba, 2024.

UKISIKIA NA HAPA IPO NDIO HII SASA 90+ Guinea 1-2 Stars ⚽️ Bayo 57’ ⚽️ Fei Toto 61’ ⚽️ Mudathir 88’ #WasafiSports

UKISIKIA NA HAPA IPO NDIO HII SASA 

90+ Guinea 1-2 Stars 

⚽️ Bayo 57’
⚽️ Fei Toto 61’
⚽️ Mudathir 88’

#WasafiSports
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji huu, na mingine mingi ambayo ni matokeo ya dhamira ya kisiasa ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na sera bora za uwekezaji, unanufaisha maelfu ya wananchi kwenye mnyororo wa thamani kuanzia mkulima hadi mlaji

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amewasili wilayani Misungwi, Mkoani Mwanza kwa ziara rasmi ya kikazi na kupokelewa na Viongozi na wananchi wa wilaya hiyo.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ametembelea na kukagua ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Tanzania, Kampasi ya Mwanza, inayojengwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha, kwa gharama ya shilingi bilioni 7.8 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 16 Septemba, 2024.

Hii Imekaaje? Joshua Mutale anatambulika mwa Jezi Namba 7 tangu alipotua Simba, lakini katika mechi ya Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli alivaa jezi ya tofauti na wenzake ikiwa na jezi namba 26. Wazee wa kanuni mtueleze hili limekaaje #WasafiSports

Hii Imekaaje? 

Joshua Mutale anatambulika mwa Jezi Namba 7 tangu alipotua Simba, lakini katika mechi ya Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli alivaa jezi ya tofauti na wenzake ikiwa na jezi namba 26.

Wazee wa kanuni mtueleze hili limekaaje 

#WasafiSports
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia akizungumza kwenye hafla ya kufunga Mkutano wa Mwaka wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi, aliwapongeza polisi kwa kazi yao kubwa ya kulinda amani na utulivu. Amethibitisha kuendelea kutoa ushirikiano wa kutosha kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa ufanisi zaidi

Rais Samia akizungumza kwenye hafla ya kufunga Mkutano wa Mwaka wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi, aliwapongeza polisi kwa kazi yao kubwa ya kulinda amani na utulivu. 

Amethibitisha kuendelea kutoa ushirikiano wa kutosha kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa ufanisi zaidi
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) kwenye kikao cha pamoja kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024

Al Ahli Tripoli wameamua kujiandalia chakula chao wenyewe katika Ubalozi wa Libya nchini Tanzania, hivyo, watalala hotelini huku chakula watakachokula kikiletwa kwao moja kwa moja kutoka kwa Ubalozi wa Libya ikiwa ni pamoja na maji, juisi na matunda. #WasafiSports

Al Ahli Tripoli wameamua kujiandalia chakula chao wenyewe katika Ubalozi wa Libya nchini Tanzania, hivyo, watalala hotelini huku chakula watakachokula kikiletwa kwao moja kwa moja kutoka kwa Ubalozi wa Libya ikiwa ni pamoja na maji, juisi na matunda.

#WasafiSports
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024. .