1 month ago
Kilimo Kwanza: Agriculture First.
KILIMO MAISHA YETU
Huyu sister wa naija anafanya kilimo cha kambale kionekane rahisi 😇
3 weeks ago
GOOD MORNING 😃 X KILIMO JUST LIKE AND REPOST 👇Another day in field JUST LIKE AND REPOST
Napenda Sana kilimo lakini siwezi kulima bamia.
Kilimo ni Umwagiliaji. 📌
4 weeks ago
Ningekuwa Ally Hapi ningeendelea zangu na Kilimo
Kilimo kinalipa sana
Kilimo cha bustani kinalipa Amini mimi
Suphian anafanya kilimo cha alizeti kionekane rahisi
Kilimo ni ushindi tosha🤣
Pengine Huu Mwaka Ndio Ukawa Mwaka Wangu Bora Kabisa Kwenye Kilimo Kuwahi Kutokea
Kilimo Sio Cha Kila Mtu.
Amka na wazo chanya, waza kilimo kwanzaGood friday👍
Kilimo kinasonga mbele ndani ya #Mi3YaSamiaShambani Wizara ya Kilimo
Wote Ni Wazuri, Nani Harakati Zake Unazikubali Sana Kati Ya Reyna Kilimo Na TricyLove Dagaa!?🫡👇🙌
Walikudanganya nini kuhusu kilimo Cha MATIKITI?
Kwani Suma JKT walifanya nini kwenye kilimo kwanza?🚶🚶👀
Kilimo na Mungu
Mambo ya kilimo kina helaa mamae🤣🤣