GreaterThinker💎(@HopeQuotes__) 's Twitter Profile Photo

NDEGE YA SERIKALI YA ISRAEL imeonekana kwenye Setlite ikiyakimbia makazi yake, inawezekana Waziri Mkuu wa 'Israeli' Benjamini Netanyahu anayakimbia Makazi yake.....

Iran wana Wapelekea Moto

NDEGE YA SERIKALI YA ISRAEL imeonekana kwenye Setlite ikiyakimbia makazi yake, inawezekana Waziri Mkuu wa 'Israeli' Benjamini Netanyahu anayakimbia Makazi yake.....

Iran wana Wapelekea Moto #BabLai
account_circle
DAMU YA MASHUJAA(@Damu_yaMashujaa) 's Twitter Profile Photo

Let other unions and professionals join the doctors in a general strike we bring this regime to its knees and kick them out. Inawezekana.

account_circle
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑(@SimbaScTweet) 's Twitter Profile Photo

Oya sikieni tuwanyooshe hao wanajiita Singida Black Stars halafu tuje kuwanyoosha na Gongowazi hiyo tar 20. Mbona ubingwa bado inawezekana kuupata kabisa 🦁

Oya sikieni tuwanyooshe hao wanajiita Singida Black Stars halafu tuje kuwanyoosha na Gongowazi hiyo tar 20. Mbona ubingwa bado inawezekana kuupata kabisa 🦁
account_circle
MeaMswahili(@meamswahili) 's Twitter Profile Photo

Unaweza Ukaona ni Kama Ndoto au Admini Amechanganyikiwa Maana Leo ni Siku ya Kupatwa Kwa Jua, inawezekana Haoni Vizuri Giza Linatawala Lakini Sio Kweli Unacho Kiona Ndivyo Kilivyo.

Msanii Ruby Ametangaza Kuachia Wimbo Mpya 'LEO' Ambao Ameshirikiana na Baba Mtotowake......

nikki_wa111(@NikkiWa111) 's Twitter Profile Photo

INAWEZEKANA VIPI?

Your bro is serving 20 years, maybe by 2037 ndipo ataona jua, na hapo ni akiweza fikisha miaka 71 bado akiwa hai.

Kuna nafasi ya kuirejesha pamoja familia yako.

Unataka kuishi ukimbizini maisha yako yote?

Wanao, wasiwaone ndugu zao forever?

Think of it!

Bracusz Cadabra(@BracuszCadabra) 's Twitter Profile Photo

Kama inafanyika recruitment sahihi kulingana na falsafa na muundo wa timu inawezekana kusajili kikosi kizima na timu ikaonyesha kitu kwa mazingira ya mpira wetu kiafrika.
Diarra,Job,Mwamnyeto,DJUMa shabani,Kibwana,Bangala,Aucho,Moloko,Farid/Ntibanzokinza,Feisal&Mayele bado subs

account_circle
Jonathan.(@Msafiri_Jona) 's Twitter Profile Photo

Asilimia kubwa ya watu wanazo tabia ambazo ni addiction zao ambazo hawazipendi na wanapambana sana kuziacha.Nakutia moyo wewe unaepambana kuacha tabia ambayo ni addiction kwako kua UTAFANIKIWA.Shikiria hapohapo.
Sio rahisi ila inawezekana ukaacha kabisa.

account_circle
Muriaso(@muriaso) 's Twitter Profile Photo

I almost cursed my As lakini kumbe it's a qualification in Kenya 😅 anyway Isuzu Kenya Sina degree bado lakini natafuta internship. Inawezekana?

account_circle