Tee Syangiki (@syangiki61789) 's Twitter Profile
Tee Syangiki

@syangiki61789

ID: 1904799145879031808

calendar_today26-03-2025 07:34:53

1,1K Tweet

85 Takipçi

116 Takip Edilen

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025.

SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

KUPIGA KURA NI UZALENDO.......... #katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #HakiKwaWote #ElimuYaSheria #WizaraYaKatibaNaSheria

KUPIGA KURA NI UZALENDO..........
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #HakiKwaWote #ElimuYaSheria #WizaraYaKatibaNaSheria
SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #HakiKwaWote #ElimuYaSheria #WizaraYaKatibaNaSheria

#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #HakiKwaWote #ElimuYaSheria #WizaraYaKatibaNaSheria
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

👉 “Haki si zawadi, ni haki ya kila mwananchi” inaweka wazi kuwa kila Mtanzania ana stahiki ya kupata haki bila ubaguzi. Haki hizo si zawadi ya mtu binafsi wala taasisi, bali ni wajibu wa kikatiba na kisheria kwa kila raia kuzipata na kulindwa nazo. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri

👉 “Haki si zawadi, ni haki ya kila mwananchi”

inaweka wazi kuwa kila Mtanzania ana stahiki ya kupata haki bila ubaguzi. Haki hizo si zawadi ya mtu binafsi wala taasisi, bali ni wajibu wa kikatiba na kisheria kwa kila raia kuzipata na kulindwa nazo.

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

👉 “Usinyamaze, haki yako inaanza pale unapoinua sauti.” Ujumbe huu unahimiza wananchi kutokaa kimya wanapokosa haki au wanapokutana na changamoto zinazohusu maisha yao ya kisheria na kijamii. Kukaa kimya ni kuruhusu kunyimwa haki, lakini kuzungumza na kudai ni hatua ya kwanza

👉 “Usinyamaze, haki yako inaanza pale unapoinua sauti.”

Ujumbe huu unahimiza wananchi kutokaa kimya wanapokosa haki au wanapokutana na changamoto zinazohusu maisha yao ya kisheria na kijamii. Kukaa kimya ni kuruhusu kunyimwa haki, lakini kuzungumza na kudai ni hatua ya kwanza
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

👉 “Sheria iko kwa ajili ya wote, si wachache.” Maana ya ujumbe huu: Sheria haikutungwa kwa ajili ya kundi dogo la watu au wenye nafasi fulani pekee, bali ipo kwa ajili ya wananchi wote bila ubaguzi. Kila raia ana haki ya kulindwa na sheria na pia wajibu wa kuifuata. Hakuna

👉 “Sheria iko kwa ajili ya wote, si wachache.”

Maana ya ujumbe huu:

Sheria haikutungwa kwa ajili ya kundi dogo la watu au wenye nafasi fulani pekee, bali ipo kwa ajili ya wananchi wote bila ubaguzi.

Kila raia ana haki ya kulindwa na sheria na pia wajibu wa kuifuata.

Hakuna
SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

Mauzo ya Korosho Nje ya Nchi Yazidi Kupaa Mauzo ya Korosho Nje ya Nchi Yameongezeka; kutoka: Juni 2024: USD 225.6 milioni Juni 2025: USD 531.8 milioni Ongezeko: USD 306.2 milioni Wanufaika Wakuu Wakulima wa korosho (kipato kuongezeka) Wafanyabiashara wadogo na wakubwa (fursa za

Mauzo ya Korosho Nje ya Nchi Yazidi Kupaa

Mauzo ya Korosho Nje ya Nchi Yameongezeka; kutoka:
Juni 2024: USD 225.6 milioni
Juni 2025: USD 531.8 milioni
Ongezeko: USD 306.2 milioni

Wanufaika Wakuu
Wakulima wa korosho (kipato kuongezeka)
Wafanyabiashara wadogo na wakubwa (fursa za
SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

Mauzo ya Kahawa Yameongezeka •Juni 2024: USD 215.7milioni •Juni 2025: USD 345.4milioni Ongezeko: USD 129.7milioni Sababu: uzalishaji kuongezeka, bei nzuri duniani, na masoko bora. Wanufaika: wakulima, wafanyabiashara na Taifa kupitia fedha za kigeni

Mauzo ya Kahawa Yameongezeka

•Juni 2024: USD 215.7milioni
•Juni 2025: USD 345.4milioni
Ongezeko: USD 129.7milioni

Sababu: uzalishaji kuongezeka, bei nzuri duniani, na masoko bora.

Wanufaika: wakulima, wafanyabiashara na Taifa kupitia fedha za kigeni
ma_kompyuta (@ma_kompyuta) 's Twitter Profile Photo

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.#sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #ssh #MSLAC

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.#sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #ssh #MSLAC
Kizimkazi (@mamasamia2025) 's Twitter Profile Photo

WHY MAMA SAMIA?. Mama Samia Suluhu Hassan ni mfano wa kiongozi mwenye dira, busara na moyo wa kujali watu wake. Ni mwanamke shupavu aliyevunja mifumo ya kizamani na kuthibitisha kuwa uongozi si jinsia bali ni uadilifu, hekima na matendo yenye kuleta tija. Mama Samia ni

WHY MAMA SAMIA?.

Mama Samia Suluhu Hassan ni mfano wa kiongozi mwenye dira, busara na moyo wa kujali watu wake. 

Ni mwanamke shupavu aliyevunja mifumo ya kizamani na kuthibitisha kuwa uongozi si jinsia bali ni uadilifu, hekima na matendo yenye kuleta tija. 

Mama Samia ni
Tee Syangiki (@syangiki61789) 's Twitter Profile Photo

Tanzania ipo mikono salama 🇹🇿#sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #ssh #MSLAC

Tanzania ipo mikono salama 🇹🇿#sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #ssh #MSLAC
Tee Syangiki (@syangiki61789) 's Twitter Profile Photo

Kazi na utu tunasonga mbele.#sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #ssh #MSLAC

Kazi na utu tunasonga mbele.#sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #ssh #MSLAC
SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

ILANI YA CCM 2025–2030 Sura ya Pili – Ukurasa wa 30 Ndege Nane Mpya kwa ATCL Serikali ya CCM itaendelea kuimarisha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kuongeza idadi ya ndege za abiria na mizigo pamoja na kuboresha uendeshaji wake. Jumla ya ndege nane mpya zinatarajiwa

ILANI YA CCM 2025–2030
Sura ya Pili – Ukurasa wa 30

Ndege Nane Mpya kwa ATCL
Serikali ya CCM itaendelea kuimarisha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kuongeza idadi ya ndege za abiria na mizigo pamoja na kuboresha uendeshaji wake. Jumla ya ndege nane mpya zinatarajiwa
Tee Syangiki (@syangiki61789) 's Twitter Profile Photo

Tanzania ni moja tu, ni jukumu la kila mtanzania kudumisha mshikamano wa kitaifa kama silaha muhimu kwa maendeleo ya taifa letu.#sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kazinaututunasongambele #ssh #MSLAC