natashasusan (@susietash) 's Twitter Profile
natashasusan

@susietash

smiling an friendly above all am God's favourite , owner of TASHA NATURAL PEANUT BUTTER

ID: 3097567565

calendar_today19-03-2015 20:16:01

6,6K Tweet

895 Followers

187 Following

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

#HabariNjema….leo hii naomba nizungumze kuhusiana na BREAKTHROUGH…huwa haiji kwa urahisi na kabla upate hiyo breakthrough, SOMETHING MUST BREAK, yaani for you to go through lazima something ibreak, Mwanzo 37, 1 Sam 1....Mama Taifa Evah Mwalili Milele FM

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Tunaingia kwenye #Intercessory, tunasimama kwenye pengo kuombea wale ambao wamekwazwa na watu wa karibu sana, wana uchungu, may they release that pain ili wapate breakthrough zao. Ni maombi sasa! Mama Taifa Evah Mwalili Milele FM #Milelegospelsunday

natashasusan (@susietash) 's Twitter Profile Photo

The Holy Spirit IN YOU is for you. The Holy Spirit ON YOU is for others. Great Gifts don’t make us great. Great Character does .Mama Taifa Evah Mwalili Nelson Kirui #Milelegospelsunday

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Wana Ligi Ya Washindi…neno ni letu ni lako wewe binafsi, likiri unapoamka, katika shughuli zako zote, jioni na unapoenda kulala, yaani zingira maisha yako, chochote ambacho ni chako, kizingire na neno hili…ZABURI 91! Mama Taifa Evah Mwalili Milele FM #BarakaZaMilele

Nelson Kirui (@nelsonkirui24) 's Twitter Profile Photo

Today is my birthday I declare today psalms 115:13-14 over my life. The Lord shall increase you more and more. Nothing shall decrease in your hands. You shall know no lack, only abundance, progress, favor, success and increase. Happy birthday to me #Milliondollardreams

Today is my birthday

I declare today psalms 115:13-14 over my life.

The Lord shall increase you more and more. Nothing shall decrease in your hands. You shall know no lack, only abundance, progress, favor, success and increase.

Happy birthday to me

#Milliondollardreams
Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Halleluya, umeamkaje? Karibu sana kwa Jumatano ya maombi na kufunga...ni wakati wa morning glory! Amka, inuka, umebarikiwa! Mama Taifa Evah Mwalili Milele FM #BarakaZaMilele #BarakaZamilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

#NenoLaLeo….Warumi 13:1-5 hapa neno linanena kuhusu KUTII MAMLAKA, RESPECTING AUTHORITY! Biblia inasema kuwa mamlaka hutoka kwa Mungu na ni vyema kutii, na kumbe ukiasi mamlaka, unaasi agizo la Mungu, na kuna adhabu unapo asi. Mama Taifa Evah Mwalili Milele FM

Nelson Kirui (@nelsonkirui24) 's Twitter Profile Photo

There is purpose in your pain. Crushing grapes gives flavor to wine. Crushing olives gives us oil. The situations of life that you think are crushing you are actually yielding God’s flavor and oil in your life.

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Glorious Tuesday, good morning blessed people of God! May the glory of the Lord shine upon you today! Subscribe to Mama Taifa Evah Mwalili You Tube Channel. Mama Taifa Evah Mwalili Milele FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele

Glorious Tuesday, good morning blessed people of God! May the glory of the Lord shine upon you today! Subscribe to Mama Taifa Evah Mwalili You Tube Channel. <a href="/EvahMwalili/">Mama Taifa Evah Mwalili</a> <a href="/Milele_FM/">Milele FM</a> #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Milele FM (@milele_fm) 's Twitter Profile Photo

Leo nakuombea wewe unayepitia hali hii ya kushuhudiwa uongo na kuharibiwa jina, Mungu akutetee na akupe haki yako! Barikiwa na Tukutane Galilaya! Mama Taifa Evah Mwalili @Milele_Fm #BarakaZaMilele