*"Kama kumkosoa Rais ni kuonyesha kwamba ameshindwa kushughulikia changamoto ya ajira na utawala wako umeongeza gharama za maisha kama maneno haya yatatafsiriwa ni kumkosea Rais heshima tutamkemea na kumkosoa sawa sawa kwa maslahi mapana ya nchi yetu,"* John Pambalu
Hapa naomba kueleweka vizuri:
Sina tatizo na mbunge akilipwa kiinua mgongo kizuri, lakini awe amekifanyia kazi basi sio kupasha kiti moto tu alafu baada ya miaka 5 unalipwa fedha nyingi na Walimu wetu, Askari wanaotulinda, madkatari na watumishi wengine wa umma wanalipwa vibaya